Mungu wangu tobaaaaah! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mungu tusaidie
Nilikuwa nadhani ana hata ka MD kumbe amesoma sheria..ndo maanaNi lawyer, walau angekuwa na ka MD, asingezingua hivi. Ninakumbuka maneno ya Prof mmoja Muhas Enzi hizo, aliyekuwa anawashauri Madaktar kujiingiza kwenye siasa. Hii ingesaidia kuondokana na watu wasiojua medicine kuongoza wizara ya afya. Madudu kama haya yangepungua.
Fuata maelekezo ya kujikinga,achana na fafanuzi utakufa wewe
Kakobe, Gwajima, Rwakatare, Lusekelo wako wapi sasa??!Kama naona shule na vyuo vikifungwa lol, Mungu awe nasi atusaidie katika kipindi hiki kigumu, ameeeeeen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa serikali hii janga kuu kwao ni upinzani, hayo mengine wanaona ni upepo utapita tu. Kumbe ndio wanaziba shimo la panya kwa mkate.Huu ni uzembe ambao hatupaswi kuufumbia macho na wanaohusika wote wawajibishwe. Abiria wanafika airport mnawaachia kama mbuzi bila kuwaweka karantini kwa muda ili kutambua wenye maambukizi.
Bado serikali ya Tanzania haijachukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi tunajua salama. Sasa endelea kujifanya haupokei ushauri ndio utaona matokeo yake.
Wapo busy na Chadema. Juzi hapa wamepiga wabunge tena wanawake mpaka kuwavunja mikono.Mi nashangaa sana mpaka CORONA insingianchini POLISI walikuwa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
KWani si ni kweli Serikali Iko busy kushughulika na na upinzani hasa Chadema. Sidhani kama kuna siasa hapo.yote umeandika poa, ila umeharibu ulipoingiza mambo ya vyama kwa swala la kiafya kama hili, usiweke siasa kwenye uzi mzuri kama huu uliouanzisha, ili tuchangie kuhusu hatima yetu inakuwaje kiafya...
Sent using Jamii Forums mobile app
Isolation ni lazima kwa kila Mkoa na hata wilaya
Hospital zote ziwe na tents au nyumba za dharura nje ya hospitali kuzuia magonjwa kusambaa
Ni lazima wataalamu wapewe nafasi ya kuongea ukweli na waandishi wawahoji sio kukimbilia kwenye press za Waimbaji na wanasiasa
Hili ni janga la Dunia na dunia nzima iko juu juu, Viongozi wote wako live kila wakati
Chief medical officers wanatoa ushauri ila sisi tunaona kawaida sana
Mataifa mengi uchumi umeanza kuyumba haswa na hela zinaelekezwa kuokoa maisha ya watu wao
Maabara wako 24/7 kutafuta chanjo ya maradhi Haya, sisi tutasubiri tuletewe baada ya maafa makubwa?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kama ni hivo wagonjwa wote wapelekwe DarMimi nilihisi kuwa labda ni sababu Moshi kuna Joto Kali na Arusha kuna Baridi, na si unasikia kuwa Corona Viruse hawana ubavu Wa kuishi katika Joto Kali, Moshi Joto ni centigrade 32 na wako hawawezi kuishi katika note zaidi ya 20 c ,tunavyosikia. Je lina ukweli hili, wataalam tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kuna watu wanajioaga muhanga... Haina tofauti sana na hiiYaani ukubali kifo kisa pesa?!