lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Corona pitia Pale Lumumba pita na Kabudi au Polepole kabla hujaja kunichukua Mimi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Television ya taifa bado inatangaza matangazo ya watoto muda huu...LolView attachment 1389930
Safiri kwenda nje ya nchi kwa ishu maalum sana na mkirudi mtupwe karatini kwa siku 14Tuwafungie hata watanzania walionje ya nchi? Nimeenda Malawi muda wa kukaa umeisha hivyo nibaki Malawi?
I cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuninikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
Hao bodaboda wamewachangia Milioni 312Ilo genge la wapinzani ukiwatazama vizuri ni wachumia tumbo walio pindukia yani hutumia elimu zao kuwachota mabodaboda ambao hawaelewi hata wana pinga nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo yanatia sana hasira....Kwa mjibu wa waziri,
*alipopimwa uwanja wa KIA alionekana mzima hana maambukizi"
Leo kakutwa na maaambuki,
Vipi wale wageni waliokuwa na dalili ila walikutwa hawana maambukizi, wako wapi.
Beggars can't be choosers