Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Chadema wanashangilia sana hii habari!
 
Naona maombi ya watu mungu kayakataa..ukitaka kubebwa na wewe jishikilie.ivimuachie mipaka yenu kilamtu aingie na mnajua tosha ugonjwa unatoka nje ya mipaka,kazi kuomba mungu awasaidie sijui mlitaka msaada wa aina gani..yaani kwa uzembe wa serikali hii corona isingie ingekuwa ajabu sana..kila mtu apambane na hali yake sasa.
 
-
Kwenye ndege alikua amekaa na mtu pembeni Je wapembeni amebaki salama.?

Mgonjwa alishika mabegi na mizigo yake je waliompokea wapo salama?

Ndani ya ndege alihudumiwa na wahudumu je wapo salama

Hoteli Arusha alipokaa je wapo salama?
Huduma za kijamii alizopata kwenye maduka bank nk Je wapo salama?

Wakati anafika hospital alipokelewa kama mgonjwa wa kawaida je walio muhudumia hatua za awali wapo salama.?

Wenda tukashuhudia ongezeko la wagonjwa zaidi MUNGU atusaidie.
 
Gizaz Kraist, janga limeshatia timu.

Vipi hao abiria wengine (walioshukia Tanzania) waliokuwepo kwenye hiyo ndege?
 
kwa masikitiko makubwa tumepokea taarifa hizo za kuhuzunisha kuhusu kuwepo kwa mgonjwa wa Corona nchini kwetu .

swali la kujiuliza kwanini serikali haikuchukua hatua za haraka kudhibiti ugonjwa huu ikiwa no pamoja na kufunga mipaka kuzuia ndege na magari yote toka nje ya nchi ?serikali inawezaje kukwepa lawama hizi
 
just imagine huyo mgonjwa kajipeleka mwenyewe hospital....how many people she mate before that..and those people how many they mate already....

na hao service provider vipi na wao..wamewekwa quarantine....????????????????????????
 
Back
Top Bottom