Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa

NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto
 
Acheni ujinga ninyi, hii ni JANJA JANJA YA CCM kutaka kumzuia Mhe Tundu Lissu asiweze kugombea Urais wala kukanyaga nchini. Amkeni.
 
Atimize wapi huyo wakati alitumia mbinu azijuazo kutuletea hili janga huku.
Soma vizuri hiyo taarifa inasema aliondoka TZ tarehe 5 mwezi huu kwenda kuzurura na kupiga selfie sweden, Denmark then Ubelgiji hata baada ya taarifa kibao kuwaasa watu wasisafiri.

Katambua kabisa ameishi na mtu Mwenye virus lakini still kaona asafiri Tena kutuletea na sisi zawadi ya Corona mpya kabisa aliyoenda kuitafuta kote huko.

Nimemchukia Sana huyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli ata mimi kanishangaza sana how stupid is this woman yaani utoke nyumba yenye mgonjwa huko ulipo tena na kifua ameshapata ndio aamue kurudi Tanzania.
 
Hua wanadhani watanzania wote ni mambumbumbu
Ngoma ilishatinga kitambo!
Inawezekana vipi kuwa mgonjwa tarehe 15 kapita uwanja wa ndege akiwa hana dalili yoyote na tarehe 16 ithibitishwe ana corona?!!!
Huyo mwanamke iweje atoke matembezi majuu atue saa 10 jioni KIA na kuishia hotelini badala ya kufikia kwake??!! Au alikuwa anasubiria saibaba ya saa nne yenye bei nafuu ili aendelee na safari?
Danganyeni wadanganyika, serikali ya kiki

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali liliulizwa na mmoja wa wanafb leo nimeona mtu kanitumia hii nikasema ngoja niilete kama ilivyo?Jee mtu anaweza kulipwa aje kueneza Corona?

IMG_20200316_220705_479.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa

NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto
Mmh poleni..damu ya Yesu ikufunike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Watu wanamastory ya kila rangi
2. Wagonjwa ni zaidi ya hao mliowasikia
3. Mjini watu washavaa mask
4. Wachina wamegawa mask + gloves kwa watoto wa shule-freely
5. Pharmacy na supermarkets sanitizer na mask zimeanza kuadimika
6. Wananchi tunaogopa (sbb kirusi hakina dawa

NB. Mtuombee sana maana Arusha hakuna joto
Kuwa imara best mtakuwa salama.
 
Hodi hodi hodiii, Mimi mgeni humu jamani na kilichokifanya niombe kujiunga humu leo ni huu uzi, inauma Sana Ila basi tu, mtu anajijua ameishi na mgonjwa wa Corona huko, anapanda ndege nakuja huku na anafika anajifungia hotelini then eti baadae anajisalimisha ,kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna kawaida ya kukumbuka shuka asubuhi wengi wamelisema hili jambo serikari inahakikisha vipi hawa watu wanakaa quarantine baada ya kuingia.

Imagine mgonjwa ndio anajistukia na kuchukua hatua mwenyewe sio kwamba kuna hatua au hata government advice ya kufanya ivyo na watu wamekuwa wakiingia kutoka nchi zilizo athiriki kipindi chote.

Kuna wakati naamini kama vile watanzania tuna special protection ya ulinzi kutoka kwa bwana godi maana viongozi wetu ni kasheshe.
 
Within 24 hrs lakini unaweza kuchelewa ndio maana wanapoingia wageni wanatengwa sehemu maalum atleast for 14 days ili kuwatambua Kama watakuwepo waliothirika.
Huwa unagundulika baada ya mda gani tangu kuingia mkuu
 
Ila uyo ajuza kaniudhi sana.

Nawaonea huruma wahudumu wa iyo hotel, wanafamilia wa hao wahudumu,..etc.

Mungu atuokoe. Kila nikiangalia tulivoshonana kwenye DCM ya Mbagala na UDART ya Kimara.
 
Back
Top Bottom