LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,755
- 9,889
Magu alishasema uchaguzi uko pale pale..'nani anataka kubakia kwenye haya maofisi.?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bangi za kupokezana ndio madhara yake haya!Sasa inaonekana Corona si tatizo ila ukifika wakati wa karibia na uchaguzi Corona itaonekana ni kikwazo.uchaguzi utaahirishwa kwa muda usiojulikana.
Sasa hivi inaonekana Taifa lina pesa hata kuweza kuwa Donor Country ukifika wakati wenyewe hakutakuwa na pesa na ukweli utadhihilika tu.
Wabunge waliopo watashukuru kuendelea na Ubunge na Mawaziri pia.
Serikali itaendelea kuwa Madarakani Until Further Notice.
Magufuli anataka uchaguzi kwa nguvu zote ili wapinzani wafutike. Vinginevyo asingeona haja ya huo uchaguzi. Magufuli anaogopa wapinzani kuliko Corona.Magu alishasema uchaguzi uko pale pale..'nani anataka kubakia kwenye haya maofisi.?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kwako wewe kufanyika kwa uchaguzi ni kuufuta upinzani ama sijakuelewa kamandaMagufuli anataka uchaguzi kwa nguvu zote ili wapinzani wafutike. Vinginevyo asingeona haja ya huo uchaguzi. Magufuli anaogopa wapinzani kuliko Corona.