kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Hapa kwetu uchaguzi mkuu ni oktoba na raisi alishaweka wazi kuwa uchaguzi hautahairishwa hata kama ugonjwa wa corona utaendelea kuwepo.
na hilo alilisema kama jibu kwa wale wengi waliokuwa na dhana au wasiwasi labda uchaguzi unaweza kuahirishwa kwa kisingizio cha ugonjwa wa corona na Raisi aliyeopo akapata na nafasi ya kusalia mamlakani.
Hayo yalikuwa ni maneno ya raisi,sasa hapa nimeonelea tugeukie kwa wadau kidogo kupata maoni yao.
SWALI NI JE:UCHAGUZI UFANYIKE AU UHAIRISHWE.
majibu yanayotakiwa ni mawili NDIO au HAPANA!
Karibuni ,usisahau kunawa mikono yako kwa maji tiririka na sabuni bila kusahau kuvaa barakoa!