Uchaguzi 2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

Uchaguzi 2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

Mda wote mnawaza Corona tu, nani kakwambia corona inaenea kila mahali, huyo kirusi ni kiumbe kama wewe ili aishi anategemea hali joto, anaenea nchi za baridi kipindi cha baridi kali lkn kwenye maeneo yenye joto hawezi kuishi. Kwa hiyo achana na hayo mawazo yako.
Irani hakuna joto? Virusi ubadilika sababu ya mazingira
 
Kwanza tuombe Mungu hii homa isitufikie.

Pili Ulaya wameshaanza kuzungumzia baadhi ya match kuchezwa bila mashabiki kwa hofu ya kuambukizwa hii homa.

Kwa jinsi ninavyoona kitakuwa kisingizio valid kwa serikali kubakia madarakani na kuchelewesha uchaguzi.

Au uchaguzi utafanyika bila campaign.

Haya yote yatategemea maambukizi yamefikia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mwenzetu ulishajiandaa kupiga kura au kugombea urais?
Maana baadhi tayari tunajua matokeo kabla ya huo Uchaguzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda wote mnawaza Corona tu, nani kakwambia corona inaenea kila mahali, huyo kirusi ni kiumbe kama wewe ili aishi anategemea hali joto, anaenea nchi za baridi kipindi cha baridi kali lkn kwenye maeneo yenye joto hawezi kuishi. Kwa hiyo achana na hayo mawazo yako.
Hii point yako ingekuwa valid kama maeneo kama indonesia yangekuwa hayana maambukizi. Otherwise unapotosha watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna swali limeulizwa kwenye group ya Whatsapp, nikaona sio mbaya kushare hapa. Naamini hapa nitapata mbili tatu za kunifungua akili

"Kwa wale wanaohusudu politics kama mimi na wanaifahamu katiba yetu sawasawa. Nauliza swali katiba yetu inasemaje kuhusu Rais aliyoko madarakani kama muda wake ukiisha wakuongoza kikatiba na tumeshindwa kuchagua/ Kupiga kura sababu ya janga la kitaifa kama corona (kumbuka mikusanyiko ya watu hairuhusiwi). Hapo inakuaje wajuzi wa mambo"
 
Kuna swali limeulizwa kwenye group ya whatsapp, nikaona sio mbaya kushare hapa. Naamini hapa nitapata mbili tatu za kunifungua akili

"Kwa wale wanaohusudu politics kama mimi na wanaifahamu katiba yetu sawasawa. Nauliza swali katiba yetu inasemaje kuhusu Rais aliyoko madarakani kama muda wake ukiisha wakuongoza kikatiba na tumeshindwa kuchagua/ Kupiga kura sababu ya janga la kitaifa kama corona( kumbuka mikusanyiko ya watu hairuhusiwi). Hapo inakuaje wajuzi wa mambo"
Ataendelea na madaraka hadi hali itakapokuwa shwari....ila bunge litavunjwa!
 
acha utoto wewe dogo sasa usema janga kwani ili janga litakuwa la muda mrefu . ebu nikuulize swali na wewe kama hili janga likiwa na muda mrefu na linwauwa watu unadhani nani atabiki
 
Kumbuka uchaguzi ni october na leo march imetangazwa corona imeingia tz. Mkuu hapo kwenye kufa hatuwezi kufa wote kwa pamoja. Itazame china
acha utoto wewe dogo sasa usema janga kwani ili janga litakuwa la muda mrefu . ebu nikuulize swali na wewe kama hili janga likiwa na muda mrefu na linwauwa watu unadhani nani atabiki
 
Ukomo ni pale anapomkabidhi Rais mwingine.......ndio maana nimekuambia bunge litavunjwa maana wao hawana makabidhiano!
Asante mkuu lakini kumbuka muda wa urais ni 5 years tu, na baada ya hapo tunapiga kura. Kwa jibu lako hili maana yake katiba inaruhusu rais kuendelea kubaki madarakani zaidi ya miaka 5 hata kama uchaguzi haujafanyika
 
IMG-20200316-WA0024.jpg
 
Salamu ndugu Watanzania wenzangu, poleni na hekaheka za kujiokoa na balaa hili, afya zetu imara ndio kipaombele chetu namba moja.

Mwaka huu agenda kuu kitaifa ni uchaguzi mkuu, pamoja na mambo mengine, naomba tujikite kwenye hili kwa uzito wake.

Uchaguzi mkuu ni mchakato ambao huchukua muda mrefu hadi kukamilika, kuanzia maandalizi ya awali kabisa [mtu binafsi], na hata kitaasisi kama vyama vya siasa, hadi kufikia kupiga kura Oktoba 25 ambapo ni kilele kwa mwaka huu.

Katika kipindi hiki chote, wahusika [wagombea] huzunguka huku na kule na hutumia namna mbalimbali kujiandaa ikiwemo kutafuta wadhamini au hata wataalamu [waganga] ili kujiweka sawa.

Hii inaweza kuhusisha watu kwa makundi kutoka ndani na nje ya nchi, pamoja na mlipuko wa balaa hili, lakini mgombea kwa maslahi yake binafsi hashindwi kusafiri [hata ikibidi kwa siri] kwenda maeneo hatarishi ilimradi tu kutimiza azma yake.

Hii inaweza kuwa sehemu ya kuwezesha maambukizi na kusambaa kwa ugonjwa huu, hapo bado vikao vya ndani vya chama na baadae mikutano ya hadhara ili kunadi sera [kampeni] ambayo hukusanya watu wengi [mafuriko] kusikiliza na kuchambua sera.

Kwa hali ilivyo sasa nchini na duniani kote, hatuwezi kujua hili janga litakuwa na madhara kiasi gani, hivyo tunawajibika kuchukua kila aina ya tahadhari ili kujilinda na kulinda afya za wengine.

Tunapozuia watu kujumuika na hata kusafiri, hatupaswi kubeza madhara ya uchaguzi, ambao kwa vyovyote vile ni lazima utahusisha ziara na mikusanyiko ya watu.

Kwa hayo machache, pamoja na maoni yenu yenye nia njema na kuboresha hoja hii, napendekeza uchaguzi mkuu uahirishwe hadi hapo hali itapoonekana kutengemaa.

Tulinde AFYA zetu, tuwalinde wenzetu, maendeleo hayana VYAMA.
 
Naunga mkono ila bunge livunjwe!
 
Corona haichagui wala haibagui,inaweza anzia jumba jeupe,tena wakiwa kwenye kikao cha baraza la wakubwa.Wakiugua wote na wakatangulia,uchaguzi hautafanyika?
Wenyeji wa JUMBA JEUPE wameanza safari juzi kuhamia Dodoma, kiini macho tuliambiwa ni kukagua daraja lililoshindikana hapo Kigeya-Morogaoro. Dar ipo mbioni kukimbiwa na viongozi wote wale ambao walikuwa hawajahamia Dodoma, kwa sababu kirusi kimeshatinga mjini. Chonde chonde usafiri wa mwendo kasi- maambukizi kwa mwendo kasi.
 
Sometime we come across the painful reality like the devastating corona virus that we are facing now as a nation. I know that together if we join our efforts, we shall triumph at the end as a nation. However, as we start counting the cost and losses caused by this pandemic, we should also not forget the facts that for the first time since Multiparty system was introduced in Tanzania, we may not have general election in October, this year.

I would like our legal experts to start pondering the situation in which elections aren't held and tell us what the Constitution says. This is a very crucial question that shoukd be addressed soberly with highest level of decency and wisdom.

This is not about CCM, JPM or CDM. This is about critical analysis of the current threat that we face as a nation and what will be its outcomes. Even in Education, assuming that our children stay home for more than two or three months, it simply means that we shall have to reschedule form two and form four exams. Let us be a national of serious thinking beyond petty party politics.

Election is not a one day event, it's a process that requires preparations including registration, voters awareness, and political campaign for all candidates and political parties. So how shall we do all these things in the mid of a lockdown? #JustThinkingOutSideTheBox

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom