Uchaguzi 2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

Uchaguzi 2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

Sometime we come across the painful reality like the devastating corona virus that we are facing now as a nation. I know that together if we join our efforts, we shall triumph at the end as a nation. However, as we start counting the cost and losses caused by this pandemic, we should also not forget the facts that for the first time since Multiparty system was introduced in Tanzania, we may not have general election in October, this year.

I would like our legal experts to start pondering the situation in which elections aren't held and tell us what the Constitution says. This is a very crucial question that shoukd be addressed soberly with highest level of decency and wisdom.

This is not about CCM, JPM or CDM. This is about critical analysis of the current threat that we face as a nation and what will be its outcomes. Even in Education, assuming that our children stay home for more than two or three months, it simply means that we shall have to reschedule form two and form four exams. Let us be a national of serious thinking beyond petty party politics.

Election is not a one day event, it's a process that requires preparations including registration, voters awareness, and political campaign for all candidates and political parties. So how shall we do all these things in the mid of a lockdown? #JustThinkingOutSideTheBox


Sent from my iPhone using JamiiForums
Apart from Tanzania, year 2020 will have many countries plan to conduct their general elections. Thus, if COVID-19 will continue to spread and hit hard all over the word, that will be a convincing excuse, and we will expect to see other countries postpone their elections as well.

But, it will be ridiculous and sheer enomity for Tanzania perse to be the only country to act bizzare while rest of the world are proceeding with their elections as per their scheduled plans.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Marekani watasitisha na sisi tusitishe lakini kama watafanya lazima tufanye na sisi maana hata maambukizi marekani yapo juu kuliko tz.

Corona isilete propaganda uchaguz upo kikatiba

Katiba hiyo hiyo ya JMT inaelekeza kinachotakiwa kufanyika kwenye Majanga ya kiasili kama Mafuriko,Maradhi na hata vita.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zimekuwepo tetesi za possibility ya kuahirishwa kwa uchaguzi mkuu sababu ya ugonjwa wa Corona zinazosambaa mitaani.

Ningependa kueleza kuwa tetesi hizo ni za hatari na siamini kama serikali ya awamu ya tano ina mpango wa kuahirisha uchaguzi sababu ya korona.

Iwapo serikali inafikiria kufanya hivyo kwa sasa basi ni hatari sana kwa sababu hasara za hatua hiyo ni kubwa sana kupita kiasi.

Sababu zenyewe ni kama hizi zifuatazo.

1. Ni signal mbaya kwa wawekezaji kuwa huenda situation ya corona ikawa mbaya sana ndiyo maana tunaahirisha uchaguzi mkuu. Wawekezaji wanaweza kubadili mawazo yao ya kuja nchini.

2. Serikali itaonekana haiko committed kwa uchaguzi. Wakati nchi zilizoathiriwa na Corona zaidi kama Marekani zinaendelea na mpango wake wa uchaguzi mkuu mwaka huu, zitatushangaa sana kuahirisha uchaguzi mkuu kwa visa vya corona ambavyo havifiki hata robo ya vile vyao lakini wao wako determined kufanya uchaguzi kama kawaida. Kwa hiyo tukiahirisha uchaguzi kipindi hiki basi huenda wakatuweka katika wakati mgumu kama walivyoonyesha kuonya hivi karibuni.

3. Upo ushahidi wa kuweza kuidhibiti Corona ndani ya muda mfupi kama vile South Korea walivyoidhibiti ndani ya mwezi mmoja, Au Jinsi nchi mbalimbali zilivyochukua hatua za kuuthibiti na zinaendelea kufanikiwa ndani ya muda mfupi. Sisi hatutakiwi kuwa wanajimu kuwa Lazima hali itakuwa mbaya mpaka mwezi october ili kujustify kuahirisha uchaguzi. Badala ya kuwaza kuchukua hatua ya kisiasa kama kuahirisha uchaguzi ulioko huko mbali kabisa mwezi october inabidi tuwaze kuchukua hatua za kudhibiti virusi kuingia nchini na kuthibiti maambukizi mapya. Inabidi tuonyeshe kuweza haya kabla ya kuwaza kuhusisha uchaguzi na Korona.

4. Kutangaza kuahirisha uchaguzi wakati hakuna mahali popote serikali imechukua hatua za juu za kuonyesha kuwa hili tatizo lipo out of control na linahitaji hatua za juu za kiusalama kama vile kufunga mipaka yetu, kuweka miji karantini au kuamuru social distancing itatafsiriwa na jumuia ya kimataifa na wqnanchi kama move ya kisiasa na si move ya kuthibiti Corona, hii itatuletea matatizo mbeleni na inaweza kuifanya serikali ionekane iko interested kwenye power badala ya hatua halisi za kuthibiti Corona. Na iwapo hali itastabilize duniani ndani ya miezi michache ijayo, itaonekana kituko

Mwisho:
Zipo sababu na taratibu kwa mujibu wa katiba za kufuata ili kusogeza mbele uchaguzi mkuu pale inapobidi, lakini hii ishu ya Corona ambayo ndo kwanza imetupalaza ndani ya siku mbili kitendo cha kuwaza kuahirisha uchaguzi ulioko mbele miezi saba ijayo ni kitendo cha kisiasa, cha madaraka na hakina mahusiano yoyote ya kitabibu.
 
Umeshasema tetesi achana nayo itakusumbua endelea kujikinga na maambukizi ya virusi vya COVID19
 
Umesema tetesi? dawa ikigunduliwa mwezi wa 4 je uchaguzi hautakuwepo?
uchaguzi unamchagua nani! kuna kiti hakina mkaliaji?

Umekaa unawaza uchaguzi kuwa magu anatoka ikulu ama unataka umtoe nani!
waza kula achana na siasa mtanganyika..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yanazidi kuwa mengi huku muda ukiwa mchache.

Kama wababe Russia wanahairisha uchaguzi sababu ya Corona sisi ni nani hadi tufanikishe?

Najiuliza tu makamanda, tuvumiliane.

Maendeleo hayana vyama!
 
Upande wa bara tutamudu

Eneo hatarishi zaidi kwa mazingira yake ni Zanzibar ambako ni bora Uchaguzi uahirishwe au ufanyike bila ya watu wa Nje kuja kama Waangalizi hasa kutoka America na Ulaya maana wanaweza kutuletea Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kupotosha, Uchaguzi Mkuu wa nini? au wewe pekee umeshaiona 2024?
 
Mambo yanazidi kuwa mengi huku muda ukiwa mchache.

Kama wababe Russia wanahairisha uchaguzi sababu ya Corona sisi ni nani hadi tufanikishe?

Najiuliza tu makamanda, tuvumiliane.

Maendeleo hayana vyama!
Hata sisi tutaahirisha

Nyie subirini muone
 
Back
Top Bottom