Uchaguzi 2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

Uchaguzi 2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

Sasa inaonekana Corona si tatizo ila ukifika wakati wa karibia na uchaguzi Corona itaonekana ni kikwazo.uchaguzi utaahirishwa kwa muda usiojulikana.

Sasa hivi inaonekana Taifa lina pesa hata kuweza kuwa Donor Country ukifika wakati wenyewe hakutakuwa na pesa na ukweli utadhihilika tu.

Wabunge waliopo watashukuru kuendelea na Ubunge na Mawaziri pia.

Serikali itaendelea kuwa Madarakani Until Further Notice.
Bangi za kupokezana ndio madhara yake haya!
 
Acha mawazo mgando uchaguzi upo kampeni zipo. Burundi wamefanya kampeni kipindi ambacho Corona ipo kwenye "peak" na wanapiga kura leo wala hawakuwaza kutofanya uchaguzi sembuse sisi ambao uchaguzi utafanyika mwezi wa 10 huko.

Kamanda jitayarishe maana sidhani Kama mtafikisha asilimia 2 ya kura
 
Akili za ki ufipa ufipa hiz! Kama tu sasa Corona ipo na bado shughuli zote zinaendelea.Je wakati wa uchaguz ambapo corona itakua imeisha makali? Uchaguzi upo na utafanyika msianze kutafuta visingizio hapa!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni mbunge wa upinzani mwenye ujasiri na kujiamini kuwa atarudi bungeni kwa kushinda uchaguzi. Tumieni kiinua mgongo chenu kwa busara!
 
Magufuli anataka uchaguzi kwa nguvu zote ili wapinzani wafutike. Vinginevyo asingeona haja ya huo uchaguzi. Magufuli anaogopa wapinzani kuliko Corona.
Kwa hiyo kwako wewe kufanyika kwa uchaguzi ni kuufuta upinzani ama sijakuelewa kamanda
 
Back
Top Bottom