#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
mpaka huu mwaka uishee tutakuwa tumenyooka..
 
Tusubiri serikali waletewe misaada ya masks ,test kits misaada, masks misaada,kuna nini tunachoweza? ugonjwa huu toka January tunajua upo serikali kuweka order walau ya masks 10 kwa kila mtanzania haiwezi, so inaweza nini sasa? Mimi huwa nashangaa sana kuona miaka zaidi ya 50 tukisubiri misaada kila kitu ni kutokuwa na mipango sahihi na ni aibu sana.
 
Allah ameshindwa kuutokomeza huu ugonjwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasubiri kuambiwa na watu wanaosoma kama wewe unavyosoma?

Kwa nini usichukue taarifa WHO ambako wanaandika taarifa walizofanyia utafiti?

Hapa kwetu maelezo yote unayopewa na madaktari siyo kwamba wamefanya utafiti ila nao wamesoma ama kusikia kwa wenzao waliofanya utafiti.Ndiyo maana aliyekataza kuvaa mask,kesho atabadili usemi baada ya wanaofanya utafiti kusema ugonjwa unaambukizwa kwa njia ya hewa
Kati ya hao angalia nani ni mwanasiasa? Nani ni daktari orijino? Ukipata jibu fwata ushauri wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bhana

Kwa hiyo unabishana na WHO [emoji23]

uchunguzi umefanyika na umegundua virusi ni airborne

Hivi kwa nini wabongo tunapenda sana kukaza ndonga hizo [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Et seriously dr makonda [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona sio airborne disease



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katishindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
Madhara yatakapokuwa makubwa (MUNGU AEPUSHIE MBALI SANA) halafu akatoa statements kama zile za kipindi kile cha tetemeko la Bukoba msije kuanza kusema anatakiwa kuwa mfariji kwa Taifa

Kumbukeni tuliambiwa tetemeko halikuletwa na serikali hivyo haiwezi kusaidia kila mtu

Sasa hivi tunaambiwa tuchape kazi tu!

Ni lini mlishamuona huyu jamaa anajishughulisha na majanga makubwa yanayolikumba Taifa au kushtuka!?

Unadhani zile barua anazotoaga za kuonyesha kuguswa na tatizo zinamaana zaidi kuliko kushughulika na tatizo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuona bishoo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…