covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
mpaka huu mwaka uishee tutakuwa tumenyooka..Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?