Acha kabisa! Hii ni fedheha. Hakuna kilichokuwa kinanisikitisha kama yale mabishano ya juzi juzi kuhusu mkopo wa world Bank kwenye elimuTusubiri serikali waletewe misaada ya masks ,test kits misaada, masks misaada,kuna nini tunachoweza? ugonjwa huu toka January tunajua upo serikali kuweka order walau ya masks 10 kwa kila mtanzania haiwezi, so inaweza nini sasa? Mimi huwa nashangaa sana kuona miaka zaidi ya 50 tukisubiri misaada kila kitu ni kutokuwa na mipango sahihi na ni aibu sana.
I'll kumwita zito msaliti Ni siasa tu,mikwara ya kisiasa,angekuwa msaliti saa hizi Yuko lokapu,Acha kabisa! Hii ni fedheha. Hakuna kilichokuwa kinanisikitisha kama yale mabishano ya juzi juzi kuhusu mkopo wa world Bank kwenye elimu
Watu hadi wanaitana wasaliti kisa misaada?!?
Sent using Jamii Forums mobile app
I'll kumwita zito msaliti Ni siasa tu,mikwara ya kisiasa,angekuwa msaliti saa hizi Yuko lokapu,
Lakini tangu enzi za mwalimu,wanafunzi wa like wanapimwa ujauzito kwa kushitukiza na wajawazito ilukuwa ndo mwisho wakikugundua shule hamna,
Serikali ilikuwa sawa kwa mujibu wa makuzi yetu.
Labda Sasa dunia imebadilika..saa hizi binti atafanya ngono bila presha maana anajua akipata mimba,atazaa na Kisha kurudi shule
Mask moja elfu sita, kwa kipato gani tulichonacho Cha kuvaa mask kila siku, labda tuvae sindiria hizo ukirudi jioni unaifua kesho unavaa tenaInaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.
Sijui tukoje!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja wakulogenikiwa natoka kwangu kuelekea kwenye mizunguko yangu huwa navaa mask, cha ajabu wabongo huwa wananiangalia kwa jicho kali wakihisi kama najiendekeza au naringa.
yaani huku uswahili kwetu ukivaa kale kamask wabongo wanakuangalia kwa jicho la husda sana.
Hili la kunawa kvant ndio kipimo chetu Cha kufikiri Hadi Kaka Gwajima nae anapiga sanitizer,Mimi binafsi siwezi mask ..nasiwezi kuvaa gloves , nasiwezi kunawa pombe.
Kama mimba mashuleni zikiruhusiwa haina haja ya kumfunga,,kinachonishangaza sijawahi sikia mzungu huko kwao kafungwa kwa kumpa mimba mwanafunzi
Kwa mtazamo wangu naona WHO wameshindwa kutimiza wajibu wao vyema, mpaka sasa inachukuwa siku 14 ukiwa na COVID-19 ndani ya mwili bila kifaa chochote kubaini, baada ya hapo ndio vipimo vya maabara vinabaini. Kwa nini WHO wameshindwa kugundua kifaa kinachoweza kubaini maambukizi ndani ya siku moja. Naona kana kwamba wanascience wa WHO wamefeli kutimiza wajibu wao na sasa ni takribani miezi minne tangu COVID-19 ianze kuua watu. Zaidi ya yote WHO hawajatuambia (au mimi sijasikia) kabla ipimo havijasibitisha kuwa una COVID-19 je unaambukiza wengine au laa. Ni mtazamo wangu tu na maoni yangu
uhalisia ni upiTunatishwa sana tofauti na uhalisia
Hata wao hawajui ukweli wa virusiWiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
VilazaaaaInaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.
Sijui tukoje!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara wataalamu wengibe wanasema masaa 72 sasa shui ni lipi hapo
Ni baada ya utafiti mpyaWiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
uzuri hata sijali, naendelea tu hamsini zangu.
Mkuu,nasikia tu watu wanalaumu China,WHO etc.Kwa mtazamo wangu naona WHO wameshindwa kutimiza wajibu wao vyema, mpaka sasa inachukuwa siku 14 ukiwa na COVID-19 ndani ya mwili bila kifaa chochote kubaini, baada ya hapo ndio vipimo vya maabara vinabaini. Kwa nini WHO wameshindwa kugundua kifaa kinachoweza kubaini maambukizi ndani ya siku moja. Naona kana kwamba wanascience wa WHO wamefeli kutimiza wajibu wao na sasa ni takribani miezi minne tangu COVID-19 ianze kuua watu. Zaidi ya yote WHO hawajatuambia (au mimi sijasikia) kabla ipimo havijasibitisha kuwa una COVID-19 je unaambukiza wengine au laa. Ni mtazamo wangu tu na maoni yangu
hahahaha....waswahili ni shida.