#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Tusubiri serikali waletewe misaada ya masks ,test kits misaada, masks misaada,kuna nini tunachoweza? ugonjwa huu toka January tunajua upo serikali kuweka order walau ya masks 10 kwa kila mtanzania haiwezi, so inaweza nini sasa? Mimi huwa nashangaa sana kuona miaka zaidi ya 50 tukisubiri misaada kila kitu ni kutokuwa na mipango sahihi na ni aibu sana.
Acha kabisa! Hii ni fedheha. Hakuna kilichokuwa kinanisikitisha kama yale mabishano ya juzi juzi kuhusu mkopo wa world Bank kwenye elimu

Watu hadi wanaitana wasaliti kisa misaada?!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'll kumwita zito msaliti Ni siasa tu,mikwara ya kisiasa,angekuwa msaliti saa hizi Yuko lokapu,
Lakini tangu enzi za mwalimu,wanafunzi wa like wanapimwa ujauzito kwa kushitukiza na wajawazito ilukuwa ndo mwisho wakikugundua shule hamna,
Serikali ilikuwa sawa kwa mujibu wa makuzi yetu.
Labda Sasa dunia imebadilika..saa hizi binti atafanya ngono bila presha maana anajua akipata mimba,atazaa na Kisha kurudi shule
 
Inabidi wanaowapa mimba wasifungwe

Inaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.

Sijui tukoje!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mask moja elfu sita, kwa kipato gani tulichonacho Cha kuvaa mask kila siku, labda tuvae sindiria hizo ukirudi jioni unaifua kesho unavaa tena
 
nikiwa natoka kwangu kuelekea kwenye mizunguko yangu huwa navaa mask, cha ajabu wabongo huwa wananiangalia kwa jicho kali wakihisi kama najiendekeza au naringa.

yaani huku uswahili kwetu ukivaa kale kamask wabongo wanakuangalia kwa jicho la husda sana.
Ngoja wakuloge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtazamo wangu naona WHO wameshindwa kutimiza wajibu wao vyema, mpaka sasa inachukuwa siku 14 ukiwa na COVID-19 ndani ya mwili bila kifaa chochote kubaini, baada ya hapo ndio vipimo vya maabara vinabaini. Kwa nini WHO wameshindwa kugundua kifaa kinachoweza kubaini maambukizi ndani ya siku moja. Naona kana kwamba wanascience wa WHO wamefeli kutimiza wajibu wao na sasa ni takribani miezi minne tangu COVID-19 ianze kuua watu. Zaidi ya yote WHO hawajatuambia (au mimi sijasikia) kabla ipimo havijasibitisha kuwa una COVID-19 je unaambukiza wengine au laa. Ni mtazamo wangu tu na maoni yangu
 
Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Hata wao hawajui ukweli wa virusi
 
Inaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.

Sijui tukoje!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vilazaaaa
 
Hili swali kuwa airborne kila mtu alikuwa anajua sema wamechukua mda tu kufanya uchunguzi na kutangaza.

Haiwezekani watu wafariki kwa wingi huu alafu ugonjwa uwe unaambukiza kwa droplet tuu wakati watu wamechukua atua zote na bado walikuwa wanaupatA.

Ndugu zangu tutumie njia zote kujikinga, Mwenyezi Mungu atatulinda. Tuoshe mikono mara kwa mara na tuvae masks tunapotoka nje kama.kuna umuhimu wa kutoka nje.
 
Navyokumbuka WHO Hawa Hawa mwanzo walituambia virusi vya CORONA Ni vikubwa kwa umbo tofauti na virusi wengine hivyo hawana uwezo wa kukaa hewani labda urukiwe na droplets za muathirika akikohoa au kupiga chafya.
Wakaenda mbali zaidi wakasema anaweza kuishi kwenye objects mbalimbali Kama chuma kwa masaa 12.
Sasa naona leo Tena wamekuja na mpya kuwa hata angani anapepea kwa masaa nane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Ni baada ya utafiti mpya
 
Kwa mtazamo wangu naona WHO wameshindwa kutimiza wajibu wao vyema, mpaka sasa inachukuwa siku 14 ukiwa na COVID-19 ndani ya mwili bila kifaa chochote kubaini, baada ya hapo ndio vipimo vya maabara vinabaini. Kwa nini WHO wameshindwa kugundua kifaa kinachoweza kubaini maambukizi ndani ya siku moja. Naona kana kwamba wanascience wa WHO wamefeli kutimiza wajibu wao na sasa ni takribani miezi minne tangu COVID-19 ianze kuua watu. Zaidi ya yote WHO hawajatuambia (au mimi sijasikia) kabla ipimo havijasibitisha kuwa una COVID-19 je unaambukiza wengine au laa. Ni mtazamo wangu tu na maoni yangu
Mkuu,nasikia tu watu wanalaumu China,WHO etc.
Hivi vitu mkuu vinachukua mda,huwezi kulala tu asubuhi unaamka umegundua vifaa fulani au umegundua huyu mdudu wa Corina Yuko hivi na vile,,inachukua mda kupima,kureaseach,kudesign etc,ndo maana unaambiwa Kuna vaccine ziko on test,lakini zitachukua miezi na huenda zisifanikiwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom