Acha kabisa! Hii ni fedheha. Hakuna kilichokuwa kinanisikitisha kama yale mabishano ya juzi juzi kuhusu mkopo wa world Bank kwenye elimuTusubiri serikali waletewe misaada ya masks ,test kits misaada, masks misaada,kuna nini tunachoweza? ugonjwa huu toka January tunajua upo serikali kuweka order walau ya masks 10 kwa kila mtanzania haiwezi, so inaweza nini sasa? Mimi huwa nashangaa sana kuona miaka zaidi ya 50 tukisubiri misaada kila kitu ni kutokuwa na mipango sahihi na ni aibu sana.
Watu hadi wanaitana wasaliti kisa misaada?!?
Sent using Jamii Forums mobile app