Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Corona lazima itufunze somo. Wa Brazil na Burundi walikuwa wakaidi na walichukulia mambo carelessly, leo wanaomba Mungu awarudishie muda nyuma. Tz imefanya mchezo hatari Ila Mungu apishe mbaliMuda mfupi baada ya mechi kumalizika,kuna ndugu yetu anahisi wakati yupo uwanja wa Kambarage Shinyanga akishangilia mechi kati ya Mwadui na Yanga kuna shabiki mmoja pale uwanjani alikuwa anakohoa huku akirukaruka bila kuziba mdomo na alikuwa anakohoa akielekeza mdomo kwa watu wengi kuonyesha mzuka umepanda hasa baada ya goli kufungwa.