emavalery
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 628
- 1,243
Huwa najiuliza kwann hawasisitiza uvaaji wa gloves za mpira, au hazina msaada?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sahihi kwa hatua aliyochukua ya kujificha kwenye HANDAKI, huko chato?Kwa Picha hizo Basi Magufuli yupo sahihi 💯 maana kwa life staili zetu Wabongo hatuwezi chomoka.
Naomba uweke hoja yako vizuri wengine tumekuta anamalizia. Mapapai kuwa za corona virus, mbuzi? These might be antibody of non specificity.Habarini Wakuu najaribu kufikiria je test kits za Covid 19 ni sahihi kwa kupima corona viruses au vinapima na vitu vingine au vina errors nyingi mpaka kukosea kiasi hiki au ni propaganda za Mhe. kutafuta escape goat?
MADUDU: MAPAPAI, MBUZI VYAPIMWA NA KUKUTWA NA CORONA
Rais Magufuli ameelezea mashaka yake juu ya ufanisi wa maabara ya taifa baada ya kufanya uchunguzi wa kupeleka sampuli za matunda na wanyama na baadhi ya sampuli hizo kukutwa na maambukizi ya Corona.
Sijui Kama ni corona
Lakin naumwa Sana kikohozi kikavu
Mafua
Homa imepungua
Kichwa Sana na mwili kudhoofu
Kama wiki na kitu nilianza kuumwa kifua nikikohoa naumia Sana kifua kubana kikohozi kikavu homa kali Sana mafua na mwili kuishiwa nguvu
Nikaenda dispensary iliyokaribu yangu nikachoma sindano na nyingine ya mishipa nilipomaliza nikapewa Septilin , amox na mseto pamoja asipilin
Kwa Sasa homa imeshuka
Ila kikohoz Bado japo sio sana, mafua yamegoma kuisha na kichwa na mwil Bado haujakaa vzur pia sisiskii radha ya chakula Wala harufu
Naomben kwa aliyepitia hii alifanyaje akapona?
Naenda wiki ya pili sasa
Hata sielewlady in action soma hayo maelezo ambayo umekua quoted kwa makini.
Kusoma huwez?Hata sielew
Mkuu kuna possibility kubwa sna hiyo ikawa ni Corona lakin kwa mujibu wa hiyo picha ya mdau alie comment hapo chini upo katika hatua za kupona na ukifanya haya mambo ninayo kwambia utakua fresh ndani ya siku chache zijazo chemsaha maji ambayo yana mchanginyiko wa Tangawizi, vitunguu swaumu na ukamulie limao kunywa asubuhi ukiamka na usiku kabla ya kulala na kwa mda wa katikati pendelea kutafuna tangawiz na vitunguu swaumu, usisahau kufanya mazoezi hakikisha unausumbua mwili utoe jasho nakushauri fanya mazoezi ya kukimbia na jitahid upige push ups usikubali kulala fanya mazoezi na ule matunda kadri utakavyo weza.Sijui Kama ni corona
Lakin naumwa Sana kikohozi kikavu
Mafua
Homa imepungua
Kichwa Sana na mwili kudhoofu
Kama wiki na kitu nilianza kuumwa kifua nikikohoa naumia Sana kifua kubana kikohozi kikavu homa kali Sana mafua na mwili kuishiwa nguvu
Nikaenda dispensary iliyokaribu yangu nikachoma sindano na nyingine ya mishipa nilipomaliza nikapewa Septilin , amox na mseto pamoja asipilin
Kwa Sasa homa imeshuka
Ila kikohoz Bado japo sio sana, mafua yamegoma kuisha na kichwa na mwil Bado haujakaa vzur pia sisiskii radha ya chakula Wala harufu
Naomben kwa aliyepitia hii alifanyaje akapona?
Naenda wiki ya pili sasa
Kwa kuwa hujui umeambukizwa au yeyote aliye karibu nawe:-Inasemekana ukishamjua adui yako ni rahisi kupambana naye.
Tumeambiwa hatua za kuchukua kujikinga na maambukizi, tunawashukuru wataalam kwa elimu hii, lakini ieleweke kwamba ugonjwa huu ni wa kuambukiza, sasa mimi binafsi nitajuaje kama sasa nimeambukizwa corona, au nitamtambuaje mtu mwenye corona? ana dalili zipi na huwa ni nini kinampata, anakohoa , anaharisha anabanwa mbavu , anapata mafua , anapata homa au anakuwaje?