#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Tulia nyumbani tu kunywa chai yenye tangawizi, limao na asali huu ni msimu wa baridi mikoa mingi ukisikia hata mkwaruzo kwenye koo utajua ni corona wakati mwaka jana kama sasa hivi uliweza hata kuupuuza na ukajiishia wenyewe.

Kama ukiamua kwenda hospitali kupima na kujiegesha karantini ndio uache na wosia kabisa
Pitia hapa kupata huduma
https://rita.go.tz/page.php?pg=1

Uamuzi ni wako hofu ni hatari kuliko covid19.
 
sure mkuu yaani ni hofu kwenda mbele
 
nimetokewa na iyo hari over two weeks now, ila nilichoamua kufanya leo ni kujifusha tu ndio naona niko poa sasa ila tatizo limebaki kooni yaani kama nimepaliwa na mate ivi
Una hofu tu. Kunywa maji ya limao yawe ya Moto kiasi, weka na kitunguu swaumu utakaa sawa. Ukinywa asubuhi, mchana na jioni kesho Yake utaona Koo liko vizuri
 
sure mkuu yaani ni hofu kwenda mbele
Nyuma kidogo nilidakwa na malaria na mvua mvua zikaniletea kikohozi nikajua ndio tayari safari imeanza. Kwenda zahanati tu kupima malaria nipate dawa daktari ananihudumia kama vile anahoji mwizi tena kwa ukali. Kupima kitu kikaonekana ni malaria nikapiga dawa zangu sasa hivi maisha yanaendelea na kikohozi kimekata.
 
hahahahah saivi hadi madaktari wanaogopa kweli
 
Una hofu tu.
Kunywa maji ya limao yawe ya Moto kiasi, weka na kitunguu swaumu utakaa sawa. Ukinywa asubuhi, mchana na jioni kesho Yake utaona Koo liko vizuri
ntafanya ivyo mkuu
 
Mkuu hali hiyo husababishwa na msongo wa mawazo
maumivu yalianza toka shingoni?
 
Mkuu hili ni tatizo, piga dozi ya tangawizi na lemon
hapana boss wasiwasi ndio akili sijapima na sina izo dalili zaid ya koo kuwasha kama nimepaliwa na mate pamoja na maumivu yanayofanana na mkuu hapo juu
 
Mkuu hali hiyo husababishwa na msongo wa mawazo
maumivu yalianza toka shingoni?
Hapana ni tumbo la juu tuuu. Na sima maumivi popote zaidi ya tumbo la juu. Na kilalia mgongo yanaongezeka kidogo ila niki lalia tumbo au kiubavu inaleta nafuu kidogo na haya maumivu ninayo kwa siku ya sita sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuma kidogo nilidakwa na malaria na mvua mvua zikaniletea kikohozi nikajua ndio tayari safari imeanza. Kwenda zahanati tu kupima malaria nipate dawa daktari ananihudumia kama vile anahoji mwizi tena kwa ukali. Kupima kitu kikaonekana ni malaria nikapiga dawa zangu sasa hivi maisha yanaendelea na kikohozi kimekata.
Wengine hatupimagi malaria,tunakunywa dawa tu,
History yangu ya kupima,
1991-mkojo-kichocho
2010-ttyphod
 
JACKSON DISMAS,
Nenda hospital binafsi hawawezi kukukarantini au nenda dispensary za kawaida, sio uende mliganzila,
Maumivu ya mbavu upande wa kushoto, Hapo ndo Moyo ulipo ujue.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom