#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Kupoteza uwezo wa kunusa au kutokuhisi ladha ya chakula yaongezwa katika moja ya dalili ya corona virus (covid19)
Chanzo:cnn
Watafiti nchini uingereza(UK) wataja moja ya dalili ya ugonjwa huu ni kukosa ama kupoteza uwezo wa kunusa na kukosa ladha ya chakula

Pia unaweza ukagoogle "how to cure loss of sense of smell" itakusaidia sana"
 
Sisi tutaendelea kunusa tu chochote kile,tusilazimishwe jaribu lao liwe letu,ndiyo maana hata wao hua hawapati kipindu pindu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Kupoteza uwezo wa kunusa au kutokuhisi ladha ya chakula yaongezwa katika moja ya dalili ya corona virus (covid19)
Chanzo:cnn
Watafiti nchini uingereza(UK) wataja moja ya dalili ya ugonjwa huu ni kukosa ama kupoteza uwezo wa kunusa na kukosa ladha ya chakula

Pia unaweza ukagoogle "how to cure loss of sense of smell" itakusaidia sana"
Mbona wanasema ukishapata hizo dalili maana yake Covid19 ilishakuchapa hapo ndio inaachia.
 
Mmeambiwa bara la Afrika mpaka mwezi may litakuwa limeathirika kwa kiwango cha juu sana.

Leo/Jana mnaambiwa kinga iliyopo njiani kutoka inabidi waafrika wajiandae kufanyiwa jaribio.
 
Muda mfupi baada ya mechi kumalizika,kuna ndugu yetu anahisi wakati yupo uwanja wa Kambarage Shinyanga akishangilia mechi kati ya Mwadui na Yanga kuna shabiki mmoja pale uwanjani alikuwa anakohoa huku akirukaruka bila kuziba mdomo na alikuwa anakohoa akielekeza mdomo kwa watu wengi kuonyesha mzuka umepanda hasa baada ya goli kufungwa

Anasema aliwakoholea wakahisi kama ni mvua inanyesha ndo ikabidi watoke kwa watu wengi waende eneo la wazi

Huyu jamaa yetu anahisi yule mtu kama hakuwa anawambukiza watu corona kwa makusudi basi ni bahati

Hata hivyo ameomba kujitenga na familia yake ili kuangalia hali itakavyokuwa

Tuchukue tahadhari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom