#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Corona lazima itufunze somo. Wa Brazil na Burundi walikuwa wakaidi na walichukulia mambo carelessly, leo wanaomba Mungu awarudishie muda nyuma. Tz imefanya mchezo hatari Ila Mungu apishe mbali
 
Wakuu habari za leo.

Hapa nina dalili zote za mwanzo za covid19 wazee. Siku kadhaa zijazo huenda nisiweze hata kuandika hapa.

Wenye ujuzi na waliokwisha pata hii mambo nipeni technique namna ya kupambania nafsi yangu. Nahisi nikienda hospital ndo kabisa ninaweza nisirudi mzima.

Natanguliza shukrani.
 
Kama huko dsm nenda kairuki utachomwa sindano yakuvfubava hivyo virusi then utaendelea na matibabu mengine.
 
Acha woga.
 
Nenda kwenye hospitali zilizoainishwa...Pengine ni hofu tu(fear of the unknown)...Baada ya vipimo unaweza kuwa kwenye nafasi sahihi ya kujua cha kufanya
 
Mkuu dawa kuu usipanik...tulia hivohivo. ukipaniki tunakunywa uji wako kesho tu mkuu. pole lakn
 
Nenda kwenye hospitali zilizoainishwa...Pengine ni hofu tu(fear of the unknown)...Baada ya vipimo unaweza kuwa kwenye nafasi sahihi ya kujua cha kufanya
Hospitali zilizoainishwa zilishafungwa mkuu
 
Hospitali zilizoainishwa zilishafungwa mkuu
hakuna hospitali iliyofungwa,kilichofanyika ni kusitisha uwepo wa sehemu maalumu kwa wagonjwa wa covid 19.. aamini bado vipimo vinafanyika japo hawasemi
 
Huduma ya kwanza piga nyungu !

Baada ya hapo hosipitali. pia usisahau chai ya tangawizi kali na limao.

Pole sana.
 
hakuna hospitali iliyofungwa,kilichofanyika ni kusitisha uwepo wa sehemu maalumu kwa wagonjwa wa covid 19.. aamini bado vipimo vinafanyika japo hawasemi
Aisee itabidi nivisiti nikapime mapema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…