#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Asante sana. Sote tunawajiika kwa afya zetu. Kwa pamoja tunaweza kuishinda corona.
 
Waislam kabla yakuingia msikitini huwa wananawa, kwahili la korona napendekeza waongeze kunawa na sabuni,

Pia, kwa wakristo nao waanzishe utaratibu wakunawa kabla yakuingia kanisani Kama wafanyavyo waislam, Ila nao wanawe kwa sabuni,

Pia kuwepo na vitambulisho ili kuweza kujua idadi ya waumini na maeneo watokayo ili akiwepo mgonjwa iwe rahisi kufatilia taarifa zake na watu alio changamana nao
 
Kila mahali nasikia neno "kunawa mikono" baada ya Corona kutua bongo! Je hiki ni kipimo cha akili ndogo? ina maana Italy, Spain, USA na China walikuwa hawanawi mikono?!
 
eddy,
Hilo la kwanza wenyewe watakujibu. La pili tayari kuna sehemu za kunawia makanisani na zimewekwa sabuni, ina maana umeandika hili bila kufanya research yoyote.

La tatu, vitambulisho kanisani inakuwaje?

Hapa labda kama unaongelea kanisa la mtaani kwako lenye waumini 25 ambao wote wanajuana vinginevyo hili jambo haliwezekani.

Mfano mmoja tu kanisa kama la St Joseph pale posta kwenye misa moja wanaweza kuingia waumini hata elf mbili(2000) na watu wanatoka sehemu tofauti wanakuja wanasali wanaondoka.
 
Kitambulisho inawezekana mkuu, vinaweza kuwa smart card kinakuwa na card reader mlangoni ukifika unabofya taarifa zako Zina kuwa recorded.
 
kwa kweli tuna nawa mpaka mikono inapoteza rutba ngozi kama ina sinyaa,
Ukiingia ofc A unanawa ukitoka hapo ukaingia ofc B unanawa tena,ukirudi tena ofc A unanawa,kuna mitaa mwanzoni tu kuna pipa la maji unanawa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mahali nasikia neno "kunawa mikono" baada ya Corona kutua bongo! Je hiki ni kipimo cha akili ndogo? ina maana Italy, Spain, USA na China walikuwa hawanawi mikono?!
Shirika la afya duniani linasema je?. Labda hawa wataalam wa hapa kwetu hatuwaamini.
 
Tuwe makini na hizi helmet za bodaboda maana inavaliwa na abiria wengi,huyu anashuka na huyu anapanda,tuwe makini sana

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Elezea basi namna ya mzunguko wa virus kutoka kwenye mtu mmoja kwenda kwenye helmet inakuaje, na kutoka kwenye helmet kwenda kwa mtu mwengine inakuaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UONGO:

IMG-20200411-WA0008.jpg

UKWELI:

8B2379B6-CDBE-4F3A-BFBF-475ADB19AC85.jpeg
 
Tunatishana sana ndugu zangu
Fanyeni kazi
Rais kasema kagonjwa haka kadogo sana na katashindwa kwa Jina la Yesu
Jina Yesu ni jina tuligopewa wananadamu litupasalo Sisi kuokolewa kwalo.
Amen
 
Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
 
Juzi mama msemaj kasema kaugonjwa kanaenezwa kwa hewa chukua tahadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Kati ya hao angalia nani ni mwanasiasa? Nani ni daktari orijino? Ukipata jibu fwata ushauri wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana kuvaa mask ni mtihani mkubwa sana kwa watanzania, napita huko barabarani naona watu wawili au mmoja waliovaa mask, wengine tunajua Corona ipo, ila na sisi tupotupo tu, tunasubiri tusikie leo wameambukizwa wangapi, tushtuke kidogo, tupige kelele zetu, tumuachie Mungu, then maisha yaendelee, hatuchukui tahadhari yoyote.

Sijui tukoje!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom