Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shirika la afya duniani linasema je?. Labda hawa wataalam wa hapa kwetu hatuwaamini.Kila mahali nasikia neno "kunawa mikono" baada ya Corona kutua bongo! Je hiki ni kipimo cha akili ndogo? ina maana Italy, Spain, USA na China walikuwa hawanawi mikono?!
Juzi mama msemaj kasema kaugonjwa kanaenezwa kwa hewa chukua tahadhariWiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?
Kati ya hao angalia nani ni mwanasiasa? Nani ni daktari orijino? Ukipata jibu fwata ushauri wake.Wiki mbili zimepita madaktar wetu kutoka wizara ya afya walitutangazia kuwa haina haja ya kuvaa facemasks kwasbb Coronavirus haienei Kwa njia ya hewa Ila kama ukiona dalili za Corona unaweza kuvaa mask ili kujilinda mwenyewe na wengine.......
Dr MAKONDA nae alituhasa tunawe mikono mara Kwa mara na sabuni inatosha sasa leo tuchukue ushauri wa Nani?