kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Wananyweshwa mlonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado !Ok.
Sorry! Umeshapata majibu?
AiseeWananyweshwa mlonge
Mlonge wa kuchemshwa? Au upi ?Wananyweshwa mlonge
Dah!Unampa dawa kutibu zile symptoms anazoonesha.
Mfn kukohoa, mafua, za maumivu, mashine ya kupumulia, kupandisha body immune n.k
Yaani mwili unarahisishiwa halaf wenyewe ndio unafanya mashambulizi ya kuua wadudu.
Ukishindwa sasa ndio maturubai na
hawa watuView attachment 1425972
AsanteCorona inaambatana na dalili kama vile maumivu ya kichwa, mafua makali, kikohozi, homa kali,maumivu ya koo pamoja na kupumua kwa shida.
Hivyo basi hivyo viambata ndivyo vinavyotibiwa ili kupunguza kasi ya mashambulizi yanayopelekea kinga ya mwili kushuka. Ni sawa na ilivyo kwa maambukizi ya H.I.V, hakuna dawa inayotibu H.I.V ila wanatibu magonjwa nyemelezi ili kupunguza kasi ya mashambulizi yanayopelekea kinga ya mwili kushuka kwa haraka.
Hayo ni mambo ya kitabibu ss hatuwezi jua unatuonea tu labda tumuulize Mbowe maana anauzoefu na mambo ya Karantine nasikia amesomea.Mfano kukohoa, mafua na maumivu hupewa dawa zipi?
Sawa!Hayo ni mambo ya kitabibu ss hatuwezi jua unatuonea tu labda tumuulize Mbowe maana anauzoefu na mambo ya Karantine nasikia amesomea.