#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Mimi siyo Daktari lakini mbona hizi vitu ni vidogo sana watu wanatakiwa watumie akili ya kawaida tu. Anaposema Corona inaambukizwa kwa njia ya Mate..kamasi na machozi je amesema vinasafiriaje kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kama siyo hewa.

Watu wakawekwa kwenye utupu je kuna uwezekano wa mate kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine iwapo wanasimama mita 6?

Tunaposema small particles je hajui kua zinasafirishwa kwa njia ya.hewa?
 
Elimu yetu ni ya kukakariri
 
Ukimtemea mtu mate unapoongea ina maana yamesafirishwa na hewa?

Nielimishe Tafadhali!
Umeona hicho tu; unadhani imemfikaje huyo uliyemtea mate bila kuangalia umbali.
Au wewe unaelewa nini kuhusu hewa; unajua kuna speed tofautitofauti ya hewa kutokana na mazingira?

Vaccuum (utupu) mkiwekwa ata umtemee mtu mate azimfikii unadhani kwanini?
 
Kwanza hicho kirusi ni invisible means ni ndogo sana na ipo kwenye vimajimani na mtu akikohoa hivo vimate vinaweza kutua kwa mwingine kwa njia ya kukohoa!ule umate hadi kwa mwingine unatumia hewa ndo maana unavaa mask ili ukikohoa usiambukize
Chaka kivipi bwashee?!

Uzito wa kirusi cha Corona haumuwezeshi kuelea kwenye hewa ni lazima ataanguka chini.....hiyo ni kwa mujibu ya maelezo ya Daktari!

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Umeona hicho tu; unadhani imemfikaje huyo uliyemtea mate bila kuangalia umbali.
Au wewe unaelewa nini kuhusu hewa; unajua kuna speed tofautitofauti ya hewa kutokana na mazingira?

Vaccuum (utupu) mkiwekwa ata umtemee mtu mate azimfikii unadhani kwanini?
Nilitegemea majibu kumbe na wewe unaniuliza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom