#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
sio mita sita, sijaangalia hiyo ITV lkn kuna mahali nimesoma ni futi 10 ambayo ni mita 3
na uwe hodari kweli wa kuongea kwa kurusha mate
havidumu zaidi ya masaa 8 na huondoshwa kwa kunawa maji angalau kwa muda
 
Corvid -19 anakaa hewani tena sio kwa sekunda ni kwa masaa kadhaa.
Zaidi ya matatu, hivi nyie madaktari wa bongo data zenu mnazitoa wapi?
Acha kupotosha!! Ina maana mate /maji maji mtu akipiga chafya/kukohoa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine husafiri kwa njia ya hewa???!! Kwanza kirusi/bacteria kuweza kusafiri kwa njia ya hewa lazima awe na uwezo wa kuelea hewani kwanza, na hivyo basi density yake lazima iwe ndogo kuliko ile ya hewa, ili aweze kuelea hewani, lakini COVID-19, hana wepesi huo wa kuweza kubakia hewani,. Kulingana na wataalamu wa afya. Ndio maana wana sisitiza distance ya kuanzia mita moja,kati ya mtu na mtu. Hizo small particles lazima ziwe na uwezo kwanza wa kuelea hewani.
 
Mkuu umemeza matango pori.
Nakushauri urudi tena kwenyw updates zako ukaji update.
Corvid -19 ni Airborne Disease.
Wewe ndugu yangu una data za zamani
Umenielewa niliposema Official Statement ni kwamba sio airborne?! Na ukinisoma hadi mwisho utaona nimeelezea utafiti mpya wanasayansi waliosema inaweza kuwa airborne through aerosols, lakini bado ni kama kupata ngoma kwa njia nyingine tofauti na sex... yaani chance ya kuambukizwa coronavirus kwa njia ya hewa kupitia aerosols ni ndogo.
 
Chaka kivipi bwashee?!

Uzito wa kirusi cha Corona haumuwezeshi kuelea kwenye hewa ni lazima ataanguka chini.....hiyo ni kwa mujibu ya maelezo ya Daktari!

Na hawa wanasema........
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ugonjwa mpaka uitwe airborne unatakiwa causative agents wake wawe wana uwezo wa kukaa hewani dk kadhaa mpaka masaa. Covid 19 sio airborne.
Hivi wewe upo sawa ki akili? Kama huyu virus anaweza kukaa kwenye meza au mlango kwa muda mrefu bado tu unaleta ubishi? Huko China wamefanikiwa sababu hata barabara ,milango na kuta za majengo zilipuliziwa sanitizer.
 
Corvid -19 anakaa hewani tena sio kwa sekunda ni kwa masaa kadhaa.
Zaidi ya matatu, hivi nyie madaktari wa bongo data zenu mnazitoa wapi?
Ingekuwa hivyo unavyotaka kuaminisha watu hadi leo duniani kungekuwa na walioambukizwa zaidi ya bilioni!!! Nenda kwenye taarifa ya WHO,
 
Mimi siyo Daktari lakini mbona hizi vitu ni vidogo sana watu wanatakiwa watumie akili ya kawaida tu. Anaposema Corona inaambukizwa kwa njia ya Mate..kamasi na machozi je amesema vinasafiriaje kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kama siyo hewa.

Watu wakawekwa kwenye utupu je kuna uwezekano wa mate kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine iwapo wanasimama mita 6?

Tunaposema small particles je hajui kua zinasafirishwa kwa njia ya.hewa?
Umewahi kupima umbali wa chafya au kohozi? Kama hujawahi kupima ni busara kunyamaza kabla ya kuwabishia wataalamu wanaojua kupitia tafiti walizozifanya.

Ni ukweli kirusi cha Korona hutoka kwa aliyeambukizwa kupitia umajimaji wa mate au mafua. Yeyote aliye karibu (kamasi ni mkubwa, hivyo kuwa katika hatari ya kuambukizwa pale yatakapotua kwenye mdomo, pua au macho, ikiwa ni pamoja na kuvuta hiyo hewa kabla majimaji hayo hayajadondoka.

USHAURI: Kaa mbali na mtu yeyote asiyekuwa amevaa barakoa. Takasa mikono yako kabla ya kugusa mdomo, macho au pua.
 
Watalaam wetu badala kuja na gunduzi walizofanya juu ya tiba ya covid-19,wao wanakuja na ngonjera za kirusi anasafrije kama wanakielewa kirusi haswa kwanini wameshindwa hata chanjo yake
 
Bams, CORONAVirusi is not airborne, PERIOD. Ingekuwa hivyo, hakika hakuna ambaye angesalimika, umevaa masks au la, kwa sababu "mask" siyo "airtight".

Maambukizi yanatokea pale mgonjwa atakapo kohoa mate au kupiga chafya. Majimaji hayo yatakuwa na virusi (idadi hutegemea kiwango cha maambukizi).

1) yakamrukia mtu mwingine na yakagusa mdomo, pua, macho au kwa mikono yake akagusa viungo vyake hivyo.

2) yakavutwa na mtu mwingine kabla ya kudondoka chini.

3) yalipondondoka yakaguswa na mtu mwingine naye akijiambukiza kwa kugusa mdomo, pua, au macho kwa mikono yake au kitambaa ambavyo havijatakasika

USHAURI:
1) Vaa barakoa ukiwa karibu na mtu usiambukize, kwa kuwa hujui kama umeambukizwa.

2) Usikaribiane na mtu yeyote ambaye hakuvaa barakoa.

3) Usiguse macho, pua au macho kwa mikono isiyo takasika kwa maji yanayotiririka+sabuni au kitakasa mikono (sanitiser).

4) Thamini uhai wako na wa binadamu mwenzio.

KWA PAMOJA TANZANIA BILA COVID-19 INAWEZEKANA.

UMOJA NI NGUVU.
 
Hivi wewe upo sawa ki akili? Kama huyu virus anaweza kukaa kwenye meza au mlango kwa muda mrefu bado tu unaleta ubishi? Huko China wamefanikiwa sababu hata barabara ,milango na kuta za majengo zilipuliziwa sanitizer.
Ok...
Sipo sawa kiakili.
iko hivi wewe mwenye akili, nimeangalia bbc muda si mrefu kwao uingereza wamesema mask sio lazima kwa raia wa kawaida. Social diastancing ndio muhimu. Mask ninkwa health workers sababu wanakutana na wagonjwa moja kwa moja hivyo wana uhatari wa kufikiwa na droplets. Sababu ya social distance kuwa muhimu ni zile droplets zisimfikie mwingine ila wana uhakika kama utakuwa umbali wa mita tatu droplets hazikufikii.. sasa hapo uniambie kuwa airborne kunatokea wapi! Hao ni watafiti wa oxford university wanaosema hivyo sio wa chuo huria unaowasikiliza wewe. Mask kwa raia wa kawaida ni ishu ya kisaikolojia. Raia wa kawaida ukimwambia avae mask anaamuni atakuwa salama zaidi hivyo hofu haimmalizi na kazini ataenda.

alafu kumbe hujui hata maana ya airborne. Tumia google ikusaidie. Kukaa kwenye meza sio kuwa airborne. Airborne maana yake anakaa/ anasafiri ktk hewa kwa muda fulani.
1DCA8BD1-B73D-4742-8C3F-A6F8E64202AF.jpeg

kukaa ktk meza sio kuwa transported through air.
Ukitaka bisha tena!
 
Mimi siyo Daktari lakini mbona hizi vitu ni vidogo sana watu wanatakiwa watumie akili ya kawaida tu. Anaposema Corona inaambukizwa kwa njia ya Mate..kamasi na machozi je amesema vinasafiriaje kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kama siyo hewa.

Watu wakawekwa kwenye utupu je kuna uwezekano wa mate kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine iwapo wanasimama mita 6?

Tunaposema small particles je hajui kua zinasafirishwa kwa njia ya.hewa?
Hii akili ni adhimu munno apo nyumbani siku hizi tangu 2015. I stand to be correctly corrected.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom