Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Meko hachomoki hapo, hata ingekua siku 100!
Thus nimemwambia mambo ya Imani hayana jibu moja Kama hesabu,sawa na itikadi xa vyama unafata chako unachokiamin na wanao amini katika Mungu waache waaminiWe jamaa una matatizo hahaha, sasa we si ndiyo ungeanza kufata yako? mi nilijibu kwenye thread wewe ukajifanya unajua ukaja kunijibu nikakupa live sasa hivi unajifanya eti nifate yangu, aliyemfata mwenzake hapa nani? 😅
Hili suala si la mzaha tunahitaji sana kuwa karibu na mungu wetu, yeye ndie atatupa njia ya wokovu pamoja na jitihada zetu
Goodluck mkuu, nikutakie mafanikio memaThus nimemwambia mambo ya Imani hayana jibu moja Kama hesabu,sawa na itikadi xa vyama unafata chako unachokiamin na wanao amini katika Mungu waache waamini
Baada ya mwezi na sisi tutaimba wimbo mmojauchumi wao
Hata wapagani wanazo imani zao, kumbuka kuwa nchi haina dini ila wananchi tunazo dini zetu.
Kumbuka kuwa rais nae ni muumini kama mimi na wewe na ni amiri jeshi mkuu wa Tanzania.
Marekani na Uingereza mpaka leo hawajapata chanjo na uchumi wao unazidi kutetereka sembuse sisi huku afrika.
Huwezi kukwepa uamuzi wa kumuomba Mungu kama unajielewa vizuri.
Wamekwambia usali wewe unataka mpango upi?Maswala ya kusali yahamasishwe na viongozi wa dini.
Viongozi wa taifa watupe mipango kazi wanayotumia kuhakikisha tunapambana na Corona.
Ha ha ha haWatanzania wanaoamini ktk Mungu tuendlee na dua.
Tusivunjwe moyo na sauti za kuzimu kama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app