Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

Huyu jamaa hayo mambo ya kuomba angeyaacha, yeye sio kiongozi wa imani wa Taifa hili, kwanza anajionyesha asivyo muamini kwa kuropoka eti kila mtu amuombe mungu kwa imani yake, hayo yatakuwa ni maombi kwa mashetani.
 
Wapiga kura wengi wa tanzania ni washika dini kwa hiyo politicians lazima watajetaje mungu mara nyingi ili waonekane wema. Ni politics tu hakuna chochote, hata jiwe mwenyewe I doubt anamuamini huyo mungu.

Kila politician Tanzania hawezi ongea bila kutaja mungu, pitia speech zao zote iwe ccm au upinzani, wote lazima wamtaje mungu, speech za nyerere tu ndiyo alikua anataja mara moja moja sana ila magu amalize 15min speech bila mungu, no way. Hapo ndo pa kula vichwa unapata kura za bure
 
Bila watu kuna nchi kweli?.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
sisi tunaoamini katika mungu mtuache.
Kila mtu apambane kimpango wake.
Magufuli anaamini katika mungu kuwa atatuvusha.
Na wewe endelea kuamini katika sayansi ndo itakayo tuvumisha.
Mimi naamini tunaoamini MUNGU TUTASHINDA

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
We jamaa una matatizo hahaha, sasa we si ndiyo ungeanza kufata yako? mi nilijibu kwenye thread wewe ukajifanya unajua ukaja kunijibu nikakupa live sasa hivi unajifanya eti nifate yangu, aliyemfata mwenzake hapa nani? 😅
Thus nimemwambia mambo ya Imani hayana jibu moja Kama hesabu,sawa na itikadi xa vyama unafata chako unachokiamin na wanao amini katika Mungu waache waamini
 
Kuwa karibu na Mungu sawa ila siyo kumjaribu.Kwa maoni yangu nashauri ungesema kuwa karibu naye kwa vip?? ungeeleza tu.

Kwani kuna watu wamemuacha, kama kuwa karib naye ni kwenda kanisan na kupiga pambio wakati unaambiwa mikusanyiko inaua, hiyo ni kumpima
Kama kumkaribia ni kuongea, kupaza sauti mitaani, redion ukijinadi kumuomba hiyo ni majarib kwake!!
Hili suala si la mzaha tunahitaji sana kuwa karibu na mungu wetu, yeye ndie atatupa njia ya wokovu pamoja na jitihada zetu

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down, Parents should practice that approach as their children get older.
 
Mwenye kujua matendo ya mwanadamu ni Mungu tu usihukumu
 
Hata wapagani wanazo imani zao, kumbuka kuwa nchi haina dini ila wananchi tunazo dini zetu.

Kumbuka kuwa rais nae ni muumini kama mimi na wewe na ni amiri jeshi mkuu wa Tanzania.

Marekani na Uingereza mpaka leo hawajapata chanjo na uchumi wao unazidi kutetereka sembuse sisi huku afrika.

Huwezi kukwepa uamuzi wa kumuomba Mungu kama unajielewa vizuri.
 
Thus nimemwambia mambo ya Imani hayana jibu moja Kama hesabu,sawa na itikadi xa vyama unafata chako unachokiamin na wanao amini katika Mungu waache waamini
Goodluck mkuu, nikutakie mafanikio mema
 
na tumetegemea sana sayansi lakini imeshindwa kutusaidia kwenye corona.
Sasa TEGEMEO LINGINE NI LIPI ZAIDI YA MUNGU PEKEE MUWEZA WA YOTE?
Hata wapagani wanazo imani zao, kumbuka kuwa nchi haina dini ila wananchi tunazo dini zetu.

Kumbuka kuwa rais nae ni muumini kama mimi na wewe na ni amiri jeshi mkuu wa Tanzania.

Marekani na Uingereza mpaka leo hawajapata chanjo na uchumi wao unazidi kutetereka sembuse sisi huku afrika.

Huwezi kukwepa uamuzi wa kumuomba Mungu kama unajielewa vizuri.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
G Sam,
Kichwa cha bandiko kinasema RAIS MAGUFULI lakini twitter inamtaja DR. JOHN MAGUFULI. This is a category mistake. Moderators, rekebisha dosari hiyo plz
 
Back
Top Bottom