mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Ni Nakushauri ukienda baa usitumie gilasi asilani, kunywa kwenye chupa.Kumuomba MUNGU ili akuepushe na janga ukiwa umeita vyomba vya habari vinakumlika ni unafiki wa kiwango cha lamii, yaani unamuomba MUNGU kwa kujianika kwenye TV kwa kugaramia ili uonekane kwa bwana yule kuwa unaomba, huu ni ujuha, huyo MUNGU mnaemuomba kwa staili hiyo mnamjua kweli?
Kibaya zaidi, hawa watu walionekana kuanza mumshukuru bwana yule kabla ya maombi, yaani badala ya kumuomba MUNGU kwa kuwapatia nafasi hiyo, matokeo yake wakaaanza kumshukuru bwana Yule huku wakikodolea kamera ili kuhakikisha bwana Yule anawashika sura zao wasije wakawa wamemaliza maombi na bwana Yule akawa hajawafahamu.
Aiseee tuna kazi kubwa sana ya kufanya nchi hii walahi.
OK namalizia kuuliza swali:
Je, hiyo amri ya take away inahusu na sisi wanywaji? Je, kwa maaana hiyo tukienda bar tuwe tunafungiwa na kuondoka? Khaaaa! watoa muongozo wamepangaranyika mapema sana na ikitokea hili janga likafumuka hata huyu Makonda walahi hutamuona hadharani atabaki ndani akichungulia dirishani kama Bashiru Ally na Polepole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana na leo waziri ummy mwalimu amenyuti Tu ili mioyo yetu ipowe lakini list ya wagonjwa bado anayo tena ni kubwa anachofanya sasa ni kutoa idadi baada ya siku2 ili watanzania tusiendelee kupanic, subiri kuanzia Kesho utasadiki maneno Yangu pale list mpya ya wagonjwa itakapotolewaWatanzania tuache ukaidi tutakwisha, hili janga alisema mwanzoni waziri ummy kuwa likiingia hatutaliweza tuache ukaidi tuchukue hatua kabla halijaenea mikoa mingne, tutatafutana kwa tochi walahi tuzuie, kuzuia ni kuzuri kuliko kutibu hatutaweza tufunge masoko, makanisa na mabar plz mwekekezeni bwana Yule na mshaurini Sana, tutatengwa huko mbeleni na wenzetu, hata hao marafiki majirani walahi watatukana watatukataa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiondoa North Korea ni kiongozi gani wa dunia amewataka wananchi wake waache kusali? Ni Jambo baya kupotosha alichosema Rais...mnapotosha makusudi kwa lengo lipi/gani??? Rais ameshasema Mara nyingi tuchukue hatua na tahachari dhidi ya Corona...viongozi wengine wa serikali akiwamo waziri mkuu nao wamesema hivyo...Rais wetu amesema pia kwamba pamoja na kuchukua hatua na tahadhari dhidi ya Corona pia tumuombe Mwenyezi Mungu atuepushe na janga hili...Sasa Happ nyie wapinzani wa JPM ndipo mnaposhikilia kwamba eti Rais emesema tusali tu tutapona...huu ni uzushi uliovuka mipaka...Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mambo mazuri yapo kila mahali hata hapa yamejaa tele.
Mimi sijamuelewa kama wewe ila nafahamu nachokisema..Sayansi ni maarifa na maarifa yanatoka kwa Mungu..Sijui kama umemuelewa!!! Anamaanisha kuwa hao wenye dini yao na maombi yao, Roman's, corona inawasulubu,
Hili gonjwa ni la kisayansi tufate maelekezo ya wanasayansi wetu lasivyo tutaangamia
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi ni ufilauniWakuu, Corona imekuja kutufunza kuwa Dunia inahitaji hospitali nyingi zaidi kuliko Makanisa/misikiti. Pia dunia inahitaji zaidi wahudumu wa afya kuliko wachungaji/mashehe feki!
Wakati tuko bize kuomba wagonjwa idadi inaongezeka! Jamani serikali yangu tuache mzaha.
Naomba kila hospitali za rufaa mikoani zipewe mamlaka ya kupima na kutoa tiba za Corona, tupime watu wengi tuokoe kizazi hiki.... Kuchelewa kuchukua hatua ni kuongeza maambukizi na vifo.
Watu wasali majumbani, ila tuboreshe mfumo wa afya zaidi ndio utatuokoa sio kujazana nyumba za ibada...
Thank me later!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanavaa mpk magunia manjiani wakiomba badala ya kustay homeMaombi ni ufilauni
Ndio ufilauni huo!
Ukiwa muumini wa ndimu na limao viwanda vya madawa vitafungwa.Idea ya ndimu inakausha damu imetoka viwandani ili kuwaogopesha watu wasitumie ndimu nao wakakosa biasharaAsante sana Mkuu. Huwa nafanya sana hiyo ya ndimu au limao kabla hata ya Corona. Hii imenisaidia mno mambo mengi. Huwa nakula sana spices kuchemsha na mbogamboga blending kupata smoothie.
Thats the bold and strong move, huku tukizingatia tahadhari zitolewazo ndio njia pekee itakayoyuvusha katika hili. Tukisema tunapambana we are doomed!
Naimani wote watu 50+mill tutakutana 31 dec kusherehekea mwaka mpya tukiwa wazima wa afya tele. Tupambane na hofu ndio mbaya zaidi
Hi ni dalili ya kukata tamaa