Tusali tu hamna namna, watu wanapukutika. Leo nimeamka na fever sijui nilishapata. Mungu nisaidie.
Inawezekana kashaona dalili za ugonjwa kufika kikomo na anahimiza watu kusali ili ikifika wiki ijayo maambukizi yatakapo pungua, awazodoe wale wanaomkejeli kwamba njia anazotumia za maombi si sahihi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unapiga risasi hovyo hewani, utaua hata wenzako, mkuu! Ila chukulia tu kwamba ukimkwepa Mungu hapa mtakutana tu kule!Kipindi mmemshambulia Lisu tulitaka kufanya maombi ya pamoja mkatukataza. Leo hii mnajifanya malaika mnaotambua umuhimu wa maombi wanafki wakubwa nyie.
Mwambieni jamaa amuombe Lisu msamahaUnapiga risasi hovyo hewani, utaua hata wenzako, mkuu! Ila chukulia tu kwamba ukimkwepa Mungu hapa mtakutana tu kule!
Jamaa hatujuani! Mimi nahamasisha maombi tu, na pia nasisitiza toba, ambayo inajumuisha kuomba msamaha watu ulio wakosea! Kwa taarifa yako, nampenda sana TL, ni kiongozi shupavu, na sikubaliani na risasi hata moja aliyo pigwa!Mwambieni jamaa amuombe Lisu msamaha
UmesomekaJamaa hatujuani! Mimi nahamasisha maombi tu, na pia nasisitiza toba, ambayo inajumuisha kuomba msamaha watu ulio wakosea! Kwa taarifa yako, nampenda sana TL, ni kiongozi shupavu, na sikubaliani na risasi hata moja aliyo pigwa!
Teh itapendeza sanaMagufuli ni chaguo la Mungu, utaona kuanzia kesho corona haitakuwepo tena
Ikitokea corona imetoka ni kwa mapenzi. Sifa hizi mpe Mungu na sio mwanadamu. Mungu wetu ana wivu na ndio maana alituambia tusiabudu miungu wengineMagufuli ni chaguo la Mungu, utaona kuanzia kesho corona haitakuwepo tena