Kuna namna ya kuomba. Nikikuta unaomba ugonjwa uishe au usiingie TZ, Neno langu moja litakuwa 'Pumbavu'. Nikikuta unaomba Mungu awasaidie wanasayansi ufumbuzi upatikane, nitasema 'Bravo!' Wakati huo wansayansi wapewe support.Kwa hiyo wewe kumwomba Mungu ni kukata tamaa? Hivyo wewe huomba Mungu tu ukishakata tamaa?
Becky kweli unadhani total lockdown inawezekana nchi hii? Umewahi kuishi katika viunga vya jiji na nje ya jiji la Dar(mfano) na kuona jinsi maisha halisi yalivyo?Nakukumbuka cutelove jinsi topic yako ya lockdown watu walivyojifanya wajuaji,,wale wote waliokua against kwa kushupaza shingo ooh tutakula nini sijui wako wapi? NYIE WOTE MLIOKATAA MEASURES ZA KUSAMBAA KWA HUU UGONGWA EITHER PARTIALLY AMA FULL LOCKDOWN,MJITOKEZA MUWAOMBE RADHI WATANZANIA,MAANA MLIMDANGANYA RAIS WETU,RAIS WETU ALIPUMBAZWA NA UJUAJI WENU..
Kusali ni moja ya mbinu ya kisaikolojia....Kama Rais namna ya kukabiliana na hili janga anatuambia tusali?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Why should I joke ?? 😢😢 Don Clericuzio
Ww ni mzembe kama sura yakoWalioanzisha dini wamefunga nyumba za ibada, wanaendesha ibada kwa live streaming, wanafuata maelekezo ya watalaam na sio maombi.
Hapa maombi hayana maana. Tufuate ushauri wa wataalam na sio maombi.
Rais anategemea Tanzania tutakua na maombi special sana ambayo watu au mataifa mengine walikosa hadi kupata corona? Mbona sstiglers au sgr hatuambiwi tuombe ijijenge?