Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Maombi haya hayajibiwi ng'o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndio itakuwa karata ya "chaguo la Mungu liendelee"Namimi nahisi tunaandaliwa kisaikolojia kwamba sasa tunafikia turning point ya ugonjwa kutoweka kimiujiza foolish country
Underline so far
Tupo, tutaona!!Maombi haya hayajibiwi ng'o
Ndicho hasa nilikusudia kukisema..... Leo karibu viongozi wengi wanawataka watu waingie kwenye maombi....lakini wamesahau kuwaambia na kuziambia Nafsi zao kufanya Toba kwanza ndipo waingie kwenye maombi...kwani bila ya kufanya hivyo tunamkasirisha yule tunaemuomba. mfano umemkosea MTU halafu una shida badala ya kuomba msamaha usamehewe kosa ulilofanya...!!ndiyo kwanza unaomba uondolewe shida zako za sasa as if hujafanya kosa huko nyuma...likely tunaemuomba hayo maombi hawezi kuyakubali.....Una hoja ya msingi sana ndugu, kwenye haya maombi, toba ni msingi! Kwa wasomaji wa Bible 2Nyakati 7:14 “ ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.”
Bahati mzuri kwamba watu hawaleti maombi kwako, itakuwaje upumbavu!
Itakuwa upumbuvu ikiwa maombi yatakuwa wewe ndo unayeombwa!
Watu wengine bhana, Kwani ni Lazima utukane wengine ndiyo uonekane wewe ni mjuzi kuliko Wao?
Vilaza wengi, ndio wanaoongoza matusi, hawanaga hoja zaidi ya matusi, matusi ni ulemavu, ni kushindwa kuishighurisha akiri ili kutoa solutions, matokeo yake unahitimisha Kwa kukebehi watu na kutoa mitusi utadhani wewe ndio binadamu kuliko wengine, mkuu Sio vema, mambo mengine kama hayakuhusu nyamaza
Busara ya mwanadamu ni Upumbavu kwa Mungu, (1 Corinthians 3 :19)
Hao unaowaona ni werevu kwa Mungu ni bure tu, na ndio maana mambo mengi mabaya huanzia kwao.