Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu usio na magonjwa, na hapo hapo uumbaji wake ukathibitisha kuwapo kwake?Najua sababu yakuumba Ili Kuthibitisha Uwepo Wake
Nakwanini nisijue wakati nishakwambia najua MUNGU Yupo
Kwan Upepo Upo ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nyingine umesema kuna maji leta ushahidiUnataka twende kwenye ushahidi wa picha?
Mimi sikutaka ushahidi wa picha kuwa Mungu yupo.
Lakini, unaweza kunipa ishahidi wa picha kwamba Mungu yupo kwanza?
Na unawezaje kuhakiki ushahidi wa picha huu ni wa kweli na huu ni photishop tu?
Nikikuoa ushahidi wa picha utauhakiki vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaumba Magonjwa Ili Kuthibitisha Uwepo WakeMungu wako alishindwa kuumba ulimwengu usio na magonjwa, na hapo hapo uumbaji wake ukathibitisha kuwapo kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Kuna vitu vipo, vinaonekana.Kwan kila usichowahi kukiona ndio kinakua hakipo ?!
Ama kama kitu hakijathibitishwa uwepo wake na Kiranga Ndio Kinakua Hakipo ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU YUPOKuna sehemu nyingine umesema **** maji leta ushahidi
Nimeshakuthibishia mungu yupo
Huamamini bado unataka uthibitisho wa kusadikika
Kuwa iillitarate kutakufanya usijue vitu vingi maandiko yamekulezea
Nijibu kwa weledi sehemu gani ina maji zaidi ya dunia??
Jibu uthibitishiwe mungu yupo..
2.kitu kisiwepo halafu ukione kinakaaje ukishaona kimeonekana basi ujue kipo1. Kuna vitu vipo, vinaonekana.
2. Kuna vitu havipo, vinaonekana.
3. Kuna vitu vipo, havionekani.
4. Kuna vitu havipo, havionekani.
Sasa, utajuaje kitu kipo kweli na hukioni kama kipo tu wakati hakipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea hewa ya oxygen anayo ivuta kila siku anaipata wapi??Kwanza nataka umuulize kila asichokiona ndio hakipo ?! Ama kila kitu lazma akione yeye ili kuthibitisha uwepo wake ?! Muulize upepo aliwahi kuuona wapi kama upo na akathibitisha kama upo ama aliwahi kuusikia wapi kama upo ama aliwahi kusikia harufu yaupepo wapi athibitishe uwepo wake MUNGU YUPO
Sent using Jamii Forums mobile app
Akinijibu vyema maswali nilio muuliza ntahamia upande wake kuanzia leo kwakuthibitisha yakwamba MUNGU Hayupo Akileta Propaganda Atakua Wakupuuzwa Tu Kama Wengine Wanavyo Puuzwa Maana Hana Hoja Yamaana Hata MojaKwa kuongezea hewa ya oxygen anayo ivuta kila siku anaipata wapi??
Je ameshawahi kuiona hewa??
Mmiliki wa hewa ni nan??
Sio kuja na vimistari viwili au vitatu vya kusema thibitisha mungu yupo ukipewa hoja bado una stick thibitisha thibitisha...
Jibu maswali ya hewa kwanza
Tukuthibitishie mungu yupo
Unaweza Kusema Hujui Lakini Haujatoka Kwa MUNGU Wetu sasa Kweli Kuna Haja Yakuendelea Kubishana Namtu Ambae Hatayeye Mwenyewe Hajui Anabishania Nini[emoji23][emoji23][emoji23]Naweza kukwambia sijui, lakini haujatoka kwa Mungu wenu.
Kama ninavyoweza kukwambia sijui square root ya mbili ni nini (in precise decimal), lakini najua si 10.
Unajua square root ya 2 ni nini in precise decimal notation?
Unajua hata square root ni nini?
Naweza kusema sijui square root ya 2 nini, lakini nikasema kwamba najua si 10.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza Kusema Hujui Lakini Haujatoka Kwa MUNGU Wetu sasa Kweli Kuna Haja Yakuendelea Kubishana Namtu Ambae Hatayeye Mwenyewe Hajui Anabishania Nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kinachoonekana halafu hakipo.1. Kuna vitu vipo, vinaonekana.
2. Kuna vitu havipo, vinaonekana.
3. Kuna vitu vipo, havionekani.
4. Kuna vitu havipo, havionekani.
Sasa, utajuaje kitu kipo kweli na hukioni kama kipo tu wakati hakipo?
2.kitu kisiwepo halafu ukione kinakaaje ukishaona kimeonekana basi ujue kipo
3.Kuna vitu Vipo Havionekani Kitu Gani Ambacho Kipo Halafu Hakionekani Ntajie Vitatu Tu Na Ulijuaje Kama Vipo Wakati Hujawahi Kuviona
Nipe ushahidi kama kipo wakati hujawahi hata kukion uta aminije kama kipo wakat hujakiona...
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hujui kwahio kusema kwako ni 10 haitakua na uhalali kwasababu ndio hujuiNaweza kusema sijui square root ya 2 nini, lakini nikasema kwamba najua si 10.
Unaelewa hilo?
Unajua square root ya 2 ni nini?
Unajua square root ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule Mvuke Unauona Jangwani Ama Barabarani Ukiwa Mbali Niupo Nandio Maana Unauona Nasharti Lakuuona Kwake Lazma Ukae Mbali Ili Uuone Kama Unavyo Ona Sharti Lamacho Kama Mazima Ili Uone Lazma Macho Yawe WaziKitu kinachoonekana halafu hakipo.
Jangwani naweza kuina mirage kama sehemu kuna chemchemi ya maji, wakati haipo, kutokana na mwanga unavyopinwa tu na joto.
Naweza kumuona Bob Markey anaimba haoa kwenye simu yangu, kwenye Youtube, wakati Bob Marley hayupo alishafariki miaka mingi sana.
Kwenye vilivyopo ambavyo sivioni.
Wewe upo, sikuoni.
Atoms zipo, sizioni.
Protons zipo, sizioni.
Thibitisha Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia atambue Na ukiwa hujui hamaanishi kwamba wenzako hawajui..Bado hujui kwahio kusema kwako ni 10 haitakua na uhalali kwasababu ndio hujui
Ukishakua hujui utabakia kua hujui tu mpaka utakapo jua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uwezo wako wakutuziona proton na atom zipo lakini huzionKitu kinachoonekana halafu hakipo.
Jangwani naweza kuina mirage kama sehemu kuna chemchemi ya maji, wakati haipo, kutokana na mwanga unavyopinwa tu na joto.
Naweza kumuona Bob Markey anaimba haoa kwenye simu yangu, kwenye Youtube, wakati Bob Marley hayupo alishafariki miaka mingi sana.
Kwenye vilivyopo ambavyo sivioni.
Wewe upo, sikuoni.
Atoms zipo, sizioni.
Protons zipo, sizioni.
Thibitisha Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iweke hivi;Kiswahili nakijua mkuu,
Narudia tena kukukumbusha
Ni Mungu sio mungu.
(M)[emoji818]️
(m)[emoji808]️
"Nini" ndio ninihiliyuu"Nini" ni nini?
Kwa jinsi nature ya maisha ilivyo na dhambi zilivyo huwezi kuacha dhambi na kama kweli moto upo basi kila mtu mzima ataenda motoni.Jiulize nawewe kwanini umeshindwa kuacha dhambi? Siku ukiacha dhambi hakika Mungu atakukingeni na majanga haya. Kucha kutwa unaenda kinyume na mafundisho yake halafu ukipata majanga ndio unamlilia? Una reasoning capacity ndogo sana kijana.
Una muamini kiranga?? Kwa lipi mtu hamjui munguKwa jinsi nature ya maisha ilivyo na dhambi zilivyo huwezi kuacha dhambi na kama kweli moto upo basi kila mtu mzima ataenda motoni.
Msome vizuri Kiranga amesema kwa nini Mungu aruhusu majanga, dhambi n.k wakati uwezo wa kuzuia anao?
Sent using Jamii Forums mobile app