Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Akili yako ina walakini Kiranga

Uzi unaelezea janga

Ww kwa kupenda kwako,unataka kuubadili uzi huu,kuwa uzi wa mabishano

Fungua uzi wako
kisha weka hoja zako,watakuja watakaokujibu Bro

Acha mabavu Chalii
Kwanza kabisa, hujajibu swali.

Pili, wanaosema Mungu yupo ndio wanaojiona wamekamilika, wana majibu ya kila kitu kwa kumjua Mungu. Mimi najua sijakamilika, ndiyo maana naeleza kutomuelewa kwangu huyo Mungu wenu.

Na bado hujanielewesha huyo Mungu wenu kashindwaje kuwanusuru watu wanaotimiza nguzo ya dini yake.

Unanisimanga na kuninyanyasa kwa kuuliza swali ambalo huwezi kujibu.

Kabla ya kuniambia ipo siku Mungu atajidhihirisha kwangu, kwanza thibitisha yupo.

Halafu nitajie siku hiyo ni tarehe ngapi, mwezi gani, mwaka gani, ili tuingoje, asipojidhihirisha turudi hapa kujadili zaidi.

Acha longolongo.

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Wewe ni mwendawazimu..
Corona ni virus mungu anapenda viumbe wote
 
Mungu tunaemuabudu Sisi,mmoja asie na mshirika

Ndie aliumba Viumbe wote,mpaka maradhi
Anampa ugonjwa amtakae kwa hikma yake,na anamkinga amtakae kwa Hikma zake

Kwa hili

Ndani ya Uchina
Bado wapo waliopatwa na maradhi,lkn hapo hapo ambao hawajaguswa na maradhi hayo

Haya yote
Ni kwa Hikma yake

Ukitaka Mungu,afanye kama utakavyo wewe Kiranga na wafuasi wako,Basi huyo si Mungu,atakuwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu swali nililouliza, na kama kuna swali umejibu, sijauliza.

Mungu kashindwa kuwanusuru waja wake wanaotimiza nguzo ya Hijja?
Mungu hayupo maka na madina tu bali mungu anatazama ulimwengu wote ki ujumla
Hivi unadhani kule china wanapougua corona mungu hayupo?? Ukiwa mvivu wa kufikiri utakuja na maswali yasio na akili
 
Mungu tunaemuabudu Sisi,mmoja asie na mshirika

Ndie aliumba Viumbe wote,mpaka maradhi
Anampa ugonjwa amtakae kwa hikma yake,na anamkinga amtakae kwa Hikma zake

Kwa hili

Ndani ya Uchina
Bado wapo waliopatwa na maradhi,lkn hapo hapo ambao hawajaguswa na maradhi hayo

Haya yote
Ni kwa Hikma yake

Ukitaka Mungu,afanye kama utakavyo wewe Kiranga na wafuasi wako,Basi huyo si Mungu,atakuwa mtu

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli na mungu huyo huyo ndio mgawa riziki kwa vinavyoonekana na visivyoonekana
Kwa sasa riziki wamepewa virusi vya corona bado mtu anakuja kuhoji mbona mungu haonekani maka au madina
 
Wewe ni mwendawazimu..
Corona ni virus mungu anapenda viumbe wote
Sasa kama Mungu anaopnda viumbe wote, alishindwa kuumba hao virusi halafu akafanya wasilete magonjwa kwa viumbe wake wengine watu?

Huoni kwamba Mungu anayeoenda viumbe wake wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na virusi vinavyoweza kuletea watu magonjwa ni contradiction?

Huoni kwamba kuamini contradiction hiyo ndiyo wendawazimu?

Sio alishindwa MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA mungu ni muweza wa kila kitu ndio maana hivyo virusi kaviumba na kavileta uwazacho wewe si SAWA na mawazo ya mungu wewe ni binadamu tu
Kwahiyo utajiuliza vitu ambavyo huwezi kujijibu
 
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Tema mate chini. Uwepo wa Mungu haupimwi kwa matukio. Hata kumtaja tu "Mungu" umeshakiri uwepo wake. Kisichokuwepo hakina jina.
 
Mungu hayupo maka na madina tu bali mungu anatazama ulimwengu wote ki ujumla
Hivi unadhani kule china wanapougua corona mungu hayupo?? Ukiwa mvivu wa kufikiri utakuja na maswali yasio na akili
Sasa kama Mungu anatazama dunia nzima, na ana upendo kwa viumbe wake wote, imekuwaje akaachia virusi vilete ugonjwa kwa watu?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao virusi havileti magonjwa kwa watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio alishindwa MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA mungu ni muweza wa kila kitu ndio maana hivyo virusi kaviumba na kavileta uwazacho wewe si SAWA na mawazo ya mungu wewe ni binadamu tu
Kwahiyo utajiuliza vitu ambavyo huwezi kujijibu
Mungu anavipenda viumbe vyake vyote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama Mungu anatazama dunia nzima, na ana upendo kwa viumbe wake wote, imekuwaje akaachia virusi vilete ugonjwa kwa watu?

Alishindwa kuumba ulimwengu ambao virusi havileti magonjwa kwa watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu kaumba dunia sio kwamba ndio anakupenda laa
Suala la Kukupenda itabidi wewe umnyenyekee muda wote mungu ameumba vitu vingi sana na kadunia chetu ni kama mfano wa punje ya mchanga katika kifusi
Mungu anavitu vingi sana
Juhudi zako za kumuomba ndio zitafanya akupe baraka. Mfano saudi arabia wamezuia safari za umra wameonyesha kitu na mungu sio kukaa unasubiria mungu akutendee hiyo haipo... mungu haitaji chochote kwako ila wewe ndio unahitaji kitu kwa mungu..elewa bro ficha ujinga
 
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi za kutungwa na watu tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom