Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?

Hata wanaokwenda Hijja?

Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Dah allah atakua anaenda kula hasara sasa....watalii wanaokuja nyumbani kwake kumtembelea wakizuiwa biashara yake itakuwaje?? inabidi aingilie kati hili swala
 
Dah allah atakua anaenda kula hasara sasa....watalii wanaokuja nyumbani kwake kumtembelea wakizuiwa biashara yake itakuwaje?? inabidi aingilie kati hili swala
Wanaisema wanamuamini Mungu inaonekana hata wao hawamuamini.

Wangemuamini, wangesema Hijja iendelee tu, Mungu atawalinda waja wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa angani kuna nyota.

Nikifumba macho ni kiza.

Sasa hayo yanathibitishaje Mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha wewe kufumba macho nakuona giza nakufumbua macho na kuona nyota sio giza la mchoni kufuata nyota na wala sio nyota kufuata macho yako inatosha kuthibitisha MUNGU YUPO na yeye ndio alie umba nyota na yeye ndie alieumba giza na akaavipanga vitu katika mahala pake
Wewe ni binadaam huwezi kuwaza kazi za mungu kirahisi rahisi
 
Akili yako ina walakini Kiranga

Uzi unaelezea janga

Ww kwa kupenda kwako,unataka kuubadili uzi huu,kuwa uzi wa mabishano

Fungua uzi wako
kisha weka hoja zako,watakuja watakaokujibu Bro

Acha mabavu Chalii

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ebu mfukuze kwa hoja kiranga kwenye huu uzi na sio vibweko.

Nb:. ni maoni yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwambia mtu athibitishe Mungu yupo.

Anakwambia tazama angani unaona nini, fumba macho unaona nini.

Ndiyo anathibitisha uwepo wa Mungu hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jua kuangaza dunia ni kwa uwezo wa mungu
Watu kwenda vatican ni kwa uwezo wa mungu
Watu kwenda saudi arabia ni kwa uwezo wa mungu
Watu
Kuthibitisha ni nini?
unajua kiranga anafeli sana yaan anataka mtu uje na maandishi mengi ndio umethibitisha
Kafumba macho kaona giza
Kafumbua macho kaona nyota
Namuuliza kwanin lile giza aliloliona wakati kafumba macho hajaliona angani??
Anabaki anasema ni maswali ya kipuuzi
Yaan na maana kama hakuna mungu kwa uwezo wa binadamu unaweza kulizuia giza? Je unaweza kuzivuta nyota angani??
 
Back
Top Bottom