Coronavirus: Safari zote za Hijja zapigwa marufuku kwa muda Saudi Arabia

Jua kuangaza dunia ni kwa uwezo wa mungu
Watu kwenda vatican ni kwa uwezo wa mungu
Watu kwenda saudi arabia ni kwa uwezo wa mungu
Watu

unajua kiranga anafeli sana yaan anataka mtu uje na maandishi mengi ndio umethibitisha
Kafumba macho kaona giza
Kafumbua macho kaona nyota
Namuuliza kwanin lile giza aliloliona wakati kafumba macho hajaliona angani??
Anabaki anasema ni maswali ya kipuuzi
Yaan na maana kama hakuna mungu kwa uwezo wa binadamu unaweza kulizuia giza? Je uweza kuzivuta nyota angani??
Tunamtaka ajibu kwa uzuri tu maana ya kuthibitisha ni nini?
 
Sio alishindwa MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA mungu ni muweza wa kila kitu ndio maana hivyo virusi kaviumba na kavileta uwazacho wewe si SAWA na mawazo ya mungu wewe ni binadamu tu
Kwahiyo utajiuliza vitu ambavyo huwezi kujijibu
Huyu Mungu unaemuaanisha katika huu uzi sio yule mwenye upendo wote na ujuzi wote.
Mungu anafaidika nini kuwaumbia viumbe wake Corona?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu kaumba dunia sio kwamba ndio anakupenda laa
Suala la Kukupenda itabidi wewe umnyenyekee muda wote mungu ameumba vitu vingi sana na kadunia chetu ni kama mfano wa punje ya mchanga katika kifusi
Mungu anavitu vingi sana
Juhudi zako za kumuomba ndio zitafanya akupe baraka. Mfano saudi arabia wamezuia safari za umra wameonyesha kitu na mungu sio kukaa unasubiria mungu akutendee hiyo haipo... mungu haitaji chochote kwako ila wewe ndio unahitaji kitu kwa mungu..elewa bro ficha ujinga

Mungu sio mungu
 
Jua kuangaza dunia ni kwa uwezo wa mungu
Watu kwenda vatican ni kwa uwezo wa mungu
Watu kwenda saudi arabia ni kwa uwezo wa mungu
Watu

unajua kiranga anafeli sana yaan anataka mtu uje na maandishi mengi ndio umethibitisha
Kafumba macho kaona giza
Kafumbua macho kaona nyota
Namuuliza kwanin lile giza aliloliona wakati kafumba macho hajaliona angani??
Anabaki anasema ni maswali ya kipuuzi
Yaan na maana kama hakuna mungu kwa uwezo wa binadamu unaweza kulizuia giza? Je unaweza kuzivuta nyota angani??
Kwanza kabisa ulinassume nikiangakia juu nitaliona jua, wakati huku nilipo ni usiku.

Mpaka hapo ushaonesha ujinga wako.

Pili, hujathibitisha jua linaangaza kwa uwezo wa Mungu, umesema tu.

Thibitisha Mungu yupo.

Sijaona giza angani kwa sababu angani kuna nyota.

Nimekujibu maswali yako.

Sasa, thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa ulinassume nikiangakia juu nitaliona jua, wakati huku nilipo ni usiku.

Mpaka hapo ushaonesha ujinga wako.

Pili, hujathibitisha jua linaangaza kwa uwezo wa Mungu, umesema tu.

Thibitisha Mungu yupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
huko ulipo ni usiku na huku ni mchana ni kwa uwezo wa mungu
Jua ni nyota kama nyot nyingine aliyezitengeneza ni mungu..
MUNGU NDIE ALIYEFANYA USIKU NA MCHANA ukawepo katika mahala pake huu pia utakua ni uthibitisho tosha

Kama unabisha zuia sehemu uliyopo iwe usiku tu milele kama unaweza
Kama hutaweza jua anaye vicontrol vitu hivi ni yeye MUNGU MMOJA
 
Logical non sequitur.

Unaunganisha mambo ambayo hayana uhusiano, unalazimisha yawe na uhusiano.

Unajuaje kwamba huku nilipo ni usiku na huko ni mchana kwa uwezo wa Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom