Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Mbona na Tanzania wameshukaFlight moja imetua kutoka china straight to Kenya na wachina kama 200 eti na wenyewe watakaa siku 14 ndiyo waachiwe uraiani sa si ndo yale ya ile meli mki achiwa ana kutwa mmoja mmoja tayari ana corona na amesha ambukiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?
Hata wanaokwenda Hijja?
Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Hujajibu swali nililouliza, na kama kuna swali umejibu, sijauliza.
Mungu kashindwa kuwanusuru waja wake wanaotimiza nguzo ya Hijja?
Kwanza kabisa, hujajibu swali.
Pili, wanaosema Mungu yupo ndio wanaojiona wamekamilika, wana majibu ya kila kitu kwa kumjua Mungu. Mimi najua sijakamilika, ndiyo maana naeleza kutomuelewa kwangu huyo Mungu wenu.
Na bado hujanielewesha huyo Mungu wenu kashindwaje kuwanusuru watu wanaotimiza nguzo ya dini yake.
Unanisimanga na kuninyanyasa kwa kuuliza swali ambalo huwezi kujibu.
Kabla ya kuniambia ipo siku Mungu atajidhihirisha kwangu, kwanza thibitisha yupo.
Halafu nitajie siku hiyo ni tarehe ngapi, mwezi gani, mwaka gani, ili tuingoje, asipojidhihirisha turudi hapa kujadili zaidi.
Acha longolongo.
Thibitisha Mungu yupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mwendawazimu..Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?
Hata wanaokwenda Hijja?
Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Ina maana wanaochukua tahadhari hawamuamini Mungu atawalinda watu watakaokwenda kuhiji?hakuna mgonjwa huko saudia.
Ila kuchukua tahadhari ni muhimu.
Hauwezi ukasema mungu hayupo kwa sababu hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hayupo maka na madina tu bali mungu anatazama ulimwengu wote ki ujumlaHujajibu swali nililouliza, na kama kuna swali umejibu, sijauliza.
Mungu kashindwa kuwanusuru waja wake wanaotimiza nguzo ya Hijja?
Hujajibu swali.Akili yako ina walakini Kiranga
Uzi unaelezea janga
Ww kwa kupenda kwako,unataka kuubadili uzi huu,kuwa uzi wa mabishano
Fungua uzi wako
kisha weka hoja zako,watakuja watakaokujibu Bro
Acha mabavu Chalii
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli na mungu huyo huyo ndio mgawa riziki kwa vinavyoonekana na visivyoonekanaMungu tunaemuabudu Sisi,mmoja asie na mshirika
Ndie aliumba Viumbe wote,mpaka maradhi
Anampa ugonjwa amtakae kwa hikma yake,na anamkinga amtakae kwa Hikma zake
Kwa hili
Ndani ya Uchina
Bado wapo waliopatwa na maradhi,lkn hapo hapo ambao hawajaguswa na maradhi hayo
Haya yote
Ni kwa Hikma yake
Ukitaka Mungu,afanye kama utakavyo wewe Kiranga na wafuasi wako,Basi huyo si Mungu,atakuwa mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama Mungu anaopnda viumbe wote, alishindwa kuumba hao virusi halafu akafanya wasilete magonjwa kwa viumbe wake wengine watu?Wewe ni mwendawazimu..
Corona ni virus mungu anapenda viumbe wote
Sio alishindwa MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA mungu ni muweza wa kila kitu ndio maana hivyo virusi kaviumba na kavileta uwazacho wewe si SAWA na mawazo ya mungu wewe ni binadamu tuSasa kama Mungu anaopnda viumbe wote, alishindwa kuumba hao virusi halafu akafanya wasilete magonjwa kwa viumbe wake wengine watu?
Huoni kwamba Mungu anayeoenda viumbe wake wote kuumba ulimwengu unaoweza kuwa na virusi vinavyoweza kuletea watu magonjwa ni contradiction?
Huoni kwamba kuamini contradiction hiyo ndiyo wendawazimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tema mate chini. Uwepo wa Mungu haupimwi kwa matukio. Hata kumtaja tu "Mungu" umeshakiri uwepo wake. Kisichokuwepo hakina jina.Mungu kashindwa kuwanusuru watu wake na janga hili?
Hata wanaokwenda Hijja?
Huyo Mungu yupo kweli au ni hadithi za watu tu?
Sasa kama Mungu anatazama dunia nzima, na ana upendo kwa viumbe wake wote, imekuwaje akaachia virusi vilete ugonjwa kwa watu?Mungu hayupo maka na madina tu bali mungu anatazama ulimwengu wote ki ujumla
Hivi unadhani kule china wanapougua corona mungu hayupo?? Ukiwa mvivu wa kufikiri utakuja na maswali yasio na akili
Mungu anavipenda viumbe vyake vyote?Sio alishindwa MUNGU HAJAWAHI KUSHINDWA mungu ni muweza wa kila kitu ndio maana hivyo virusi kaviumba na kavileta uwazacho wewe si SAWA na mawazo ya mungu wewe ni binadamu tu
Kwahiyo utajiuliza vitu ambavyo huwezi kujijibu
Nikiitaja "pembetatu duara" maana yake ipo?Tema mate chini. Uwepo wa Mungu haupimwi kwa matukio. Hata kumtaja tu "Mungu" umeshakiri uwepo wake. Kisichokuwepo hakina jina.
Mungu kaumba dunia sio kwamba ndio anakupenda laaSasa kama Mungu anatazama dunia nzima, na ana upendo kwa viumbe wake wote, imekuwaje akaachia virusi vilete ugonjwa kwa watu?
Alishindwa kuumba ulimwengu ambao virusi havileti magonjwa kwa watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo na si hadithi za kutungwa na watu tu?Mungu kaumba dunia sio kwamba ndio anakupenda laa
Suala la Kukupenda itabidi wewe umnyenyekee muda wote mungu ameumba vitu vingi sana na kadunia chetu ni kama mfano wa punje ya mchanga katika kifusi
Mungu anavitu vingi sana
Juhudi zako za kumuomba ndio zitafanya akupe baraka. Mfano saudi arabia wamezuia safari za umra wameonyesha kitu na mungu sio kukaa unasubiria mungu akutendee hiyo haipo... mungu haitaji chochote kwako ila wewe ndio unahitaji kitu kwa mungu..elewa bro ficha ujinga