CoronaVirus: Vipimo vya mara ya pili ya RC Mghwira vyaonesha hana maambukizi ya COVID19


Kuna Viongozi wa Siku hizi ukiwa unawasikiliza na kuangalia watendayo utajua fika kuwa Utahaira tayari umeshawapata rasmi.
 
amepimwa maabara ya wapi maana maabara yetu sasa inaenda mda wa week mbili inachunguzwa na kufanyiwa maboresho


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo mama ( RC) si inasemekana alinunua kipimo Cha corona akiwa Nairobi !!
 
Ninayo hayo majani ya kumwaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mimea ingegunduliwa ulaya,saa hizi jngekua imetoweka
Mtu anauliza amepima wapi?Jadili uwezo wa mmea kwanza
 

Stori ndeefu halafu mwisho ukaishia kumtukuza mfalme mtakatifu yohana

What a shame!
 
Asije akawa ndio mwenye sampuli za lile papai maana maza ni wa njano Kama papai. Tuwe makini na mapapai huwa hayaumwi na hayana huo Ugonjwa sasa usije kuchanganya ukafuata vipimo vya papai
 
Mimi siamini kama huyo mama alikuwa na corona ni kweli kuna tatizo kwenye vipimo
Asije akadanganya watu watumie mizizi halafu wapukutike
Wewe utakuwa mtu wa mwisho kusadiki
 
Serikali ikudaidie kutafuta majani?
U are not seriuos jamaa yangu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…