Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Kwamba wanajua meli zote zinazotoka india zinaenda israhel ama wanafatiliaje ilipotoka wanaulizia ama inakuaje?Si wanaifatilia ilipotoka tu 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wanajua meli zote zinazotoka india zinaenda israhel ama wanafatiliaje ilipotoka wanaulizia ama inakuaje?Si wanaifatilia ilipotoka tu 😂😂😂
Hapa angalauIran wanakusanya intelijensia,wanawapa houthi..the mkong'onto
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli
Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu.
Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa.
Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na Hapag-Lloyd kufanya vivyo hivyo.
Hii inaathiri kwa kiasi kikubwa njia za biashara za kimataifa, na ufikiaji wa Israeli kwa bidhaa.
Netanyahu anafikiria kufunga baadhi ya mashirika ya serikali kutumia fedha zao kulipia gharama za kijeshi huko Gaza."
t.me/megatron_ron
View: https://x.com/megatron_ron/status/1743960686969954434?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
![]()
Marekani na washirikanwake hawakutegemea hili waendelee kumbeba Israel yeye mwenye huko bandari zate kavu hamna meli uchumi unayumba waafanyakazi wa badari wapo likizo.Inakoelekea,company zinazidi kupoteza imani hata kama sio Israel linked vessels zikipita bahari nyekundu,maana Maersk ilisitisha pia.
Mgogoro utaathiri kiasi kikubwa tu,tukae chonjo.
Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli
Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu.
Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa.
Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na Hapag-Lloyd kufanya vivyo hivyo.
Hii inaathiri kwa kiasi kikubwa njia za biashara za kimataifa, na ufikiaji wa Israeli kwa bidhaa.
Netanyahu anafikiria kufunga baadhi ya mashirika ya serikali kutumia fedha zao kulipia gharama za kijeshi huko Gaza."
t.me/megatron_ron
View: https://x.com/megatron_ron/status/1743960686969954434?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
![]()
Kama taifa kubwa lipi??Israel wana budget yakupigana na mataifa makubwa wote ndio iwe Gaza? Nadhani hakuna alie Kaa nakujiuliza Nazi ipo wapi?
Wanapewa taarifa za kijasusi na Iran.Ka bahari kenyewe kana upana usiozidi 20Km ambayo ni within range ya makombora ya Houthis, hakuna penye utasema napita mbali nisipewe kipondo,
Kibano ipo pale pale.
Najiuliza hivi Houths wanatambua vp kuwa hii meli hii inaenda Eilat port na hii haiendi?
Vp kama wakiamua kubadili bendera au kuongopa destination?
Wanapokea taarifa za kijasusi kutoka kwa Iran.Hili lakumilikiwa na israhell ndio najiuliza wanajuaje
Bendera kawaida sababu meli nyingi hua zinapepeusha bebdera ambazo sio zao
Unakuta meli ya marekani ila wanapepeusha bendera ya Senegal ama kongo
Ishu hapa jamaa wanajuaje kama umiliki wa israhell ama destination ni israhell??? Ritz Black Sniper nk msaada hapa
Imekalilishwa uharo kilansiku wanaomba msaada Marelkani weka ushahidi wa maeno yako unaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege unalera JFIsrael wana budget yakupigana na mataifa makubwa wote ndio iwe Gaza? Nadhani hakuna alie Kaa nakujiuliza Nazi ipo wapi?
Houthi hawataki mchezo kabisa,Israel akiendeleza military operation ndani ya Gaza na wao wanaendelea ku attack meli,hivi karibuni tutegemee hata meli ambazo si mshirika kuvamiwa na sidhani kwa sasa kama kuna meli itapitishwa.Marekani na washirikanwake hawakutegemea hili waendelee kumbeba Israel yeye mwenye huko bandari zate kavi hamna meli.
Sawa mkuu. Ila pia nchi yetu ichukue tahadhari maana lolote linawezekana muda wowote.Nadhani sio rahisi sababu houthi wameonesha kabisa wanadeal nanani
Wanajua njian zote na Meli zote zikifika maeneo hayo wanakama mawasilano wanajua kila kitu.Ka bahari kenyewe kana upana usiozidi 20Km ambayo ni within range ya makombora ya Houthis, hakuna penye utasema napita mbali nisipewe kipondo,
Kibano ipo pale pale.
Najiuliza hivi Houths wanatambua vp kuwa hii meli hii inaenda Eilat port na hii haiendi?
Vp kama wakiamua kubadili bendera au kuongopa destination?
Njia za kitambua meli imetoka/inamilikiwa na nani zipo nyingi mfano,IMo number,flag of convenience,(kusajili umiliki wa meli zaidi ya nchi moja)ship registry, monitoring signals ambayo hutoa information kuhusu umiliki wa meli hivyo ni rahisi kushambulia tu.Kwamba wanajua meli zote zinazotoka india zinaenda israhel ama wanafatiliaje ilipotoka wanaulizia ama inakuaje?
Kama mmbongo tu anaweza fatilia meli iliyobeba gari lake toka inaondoka Japan in real time itakuwaje kwa majeshi.Kwamba wanajua meli zote zinazotoka india zinaenda israhel ama wanafatiliaje ilipotoka wanaulizia ama inakuaje?
Without Hamas, there would be no Palestinians!? You are definitely out of your mind.Without Israel, there would be no Hamas.
But without Hamas, there would be no Palestinians.
Hzo information za kujua meli inaenda wapi hapo ndio usa anapomlaumu iran kuwa anawapa houth taarifa za kijasusi za kutambua kila meli inaenda wapi na imebeba nnHili lakumilikiwa na israhell ndio najiuliza wanajuaje