COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

Hawana pa kupumulia sasa, na waliokimbilia nyumba za bure walizojenga Palestinians kwa jasho lao leo wamezikimbia tena na kurudi USA na nchi zingine washirika
Mpaka sasa wamekimbia tena zile nyumba na wengine kutolewa na serikali yao na kupelekwa mahotelini
Wamechoka na mizigo ndio hiyo haifiki kwa wakati Huku wafanyakazi wa mashamba wameyaacha yafe na kukauka
Mashamba ya technology za kisasa chali
Yule paka Netanyahu nae ataachia ngazi tu
 
Israel anayesifiwa kwa kuuwa watoto hataki kabisa kufiki huko kupigana ndiyo maaba nchi zingine zimejitoa kwenye huo muungano.
Marekani mwenyewe aliomba Dunia nzima ipigane na Saddam wakati ule
Itakuwa myahudi akapigane sehemu Tatu kwa wakati mmoja? Subutu
Ni kweli hawezi hii vita alifikiri atawaonea wapalestina maisha yote mpaka kuwapangia waswali lini na watembee saa ngapi
 
Hawana pa kupumulia sasa, na waliokimbilia nyumba za bure walizojenga Palestinians kwa jasho lao leo wamezikimbia tena na kurudi USA na nchi zingine washirika
Mpaka sasa wamekimbia tena zile nyumba na wengine kutolewa na serikali yao na kupelekwa mahotelini
Wamechoka na mizigo ndio hiyo haifiki kwa wakati Huku wafanyakazi wa mashamba wameyaacha yafe na kukauka
Mashamba ya technology za kisasa chali
Yule paka Netanyahu nae ataachia ngazi tu
Mkuu tofauti na Meli je israel hawezi kutumia anga kusafirisha mizigo yake,?
 
Hili lakumilikiwa na israhell ndio najiuliza wanajuaje
Bendera kawaida sababu meli nyingi hua zinapepeusha bebdera ambazo sio zao
Unakuta meli ya marekani ila wanapepeusha bendera ya Senegal ama kongo
Ishu hapa jamaa wanajuaje kama umiliki wa israhell ama destination ni israhell??? Ritz Black Sniper nk msaada hapa
7

Documents zote zinajulikana Sheikh
Wakati wale vijana wa kisomali (pirates) walipokuwa wanateka meli zaidi ya 300
Walikuwa wanakagua Documents na kujua ni za nani na zinaenda wapi?
Ili kama ni mzigo wa adui au anaepiga nchi za kiislam imekula kwake

Kuna meli ilikamatwa na ilikuwa kashfa kubwa sana kwa jirani zetu hapo
Ndani ya meli kulikuwa na silaha za kila aina nzito na nyepesi mpaka mizinga
Mzigo wanasema umeandikwa unashuka Mombasa ila Documents zingine za bill of landing zinaenda South Sudan
Ilikuwa aibu sana kwa Kenya kukubali kuandika ni mzigo wao
Ila wasomali walibeba mzigo wote na hela za ransom
 
Njia za kitambua meli imetoka/inamilikiwa na nani zipo nyingi mfano,IMo number,flag of convenience,(kusajili umiliki wa meli zaidi ya nchi moja)ship registry, monitoring signals ambayo hutoa information kuhusu umiliki wa meli hivyo ni rahisi kushambulia tu.
Hivyo mifumo inayotumika ukiwa ndani ya meli kutambua meli zilizokaribu nawe inapoelekea,speed yake,inapomilikiwa n.k ndivyo hivyo wao hutambua pia.
Shukran boss
 
BREAKING:

[emoji298] [emoji1134] wameanza kulenga bandari za Haifa, katika pwani ya Mediterania ya Israel.

Kombora ambalo halijatambuliwa lilitua katika eneo la bandari la Haifa.

Je, Hezbollah pia itafunga njia ya bahari ya Mediterania kuelekea Israel, na hivyo kusababisha mkwamo wa jumla wa kiuchumi?

t.me/megatron_ron
Mungu jaalia iwe hivyo
 
H

Hzo information za kujua meli inaenda wapi hapo ndio usa anapomlaumu iran kuwa anawapa houth taarifa za kijasusi za kutambua kila meli inaenda wapi na imebeba nn
United Shits Of Americant hajawahi kua na akili kenge yule
Yeye anaetoa mabomu watu wauliwe mvwa yule
 
Mkuu tofauti na Meli je israel hawezi kutumia anga kusafirisha mizigo yake,?
Anga inasafirisha mizigo kidogo na gharama kubwa
Pia anga kuna baadhi ya mizigo huwezi kubeba kwa wingi wa kwenye meli
Meli nadhani ndio usafiri unaobeba mzigo mkubwa kwa gharama nafuu kuliko usafiri mwengine wote
Mfano tu meli inauwezo wa kubeba makontena elfu moja
Sasa imajine hayo makontena elfu moja unayapakiaje kwenye ndege ama njia nyengine isiokua meli
 
7

Documents zote zinajulikana Sheikh
Wakati wale vijana wa kisomali (pirates) walipokuwa wanateka meli zaidi ya 300
Walikuwa wanakagua Documents na kujua ni za nani na zinaenda wapi?
Ili kama ni mzigo wa adui au anaepiga nchi za kiislam imekula kwake

Kuna meli ilikamatwa na ilikuwa kashfa kubwa sana kwa jirani zetu hapo
Ndani ya meli kulikuwa na silaha za kila aina nzito na nyepesi mpaka mizinga
Mzigo wanasema umeandikwa unashuka Mombasa ila Documents zingine za bill of landing zinaenda South Sudan
Ilikuwa aibu sana kwa Kenya kukubali kuandika ni mzigo wao
Ila wasomali walibeba mzigo wote na hela za ransom
Shukran boss
 
Marekani alitaka kuwazuga na ulinzi wao usio na logic. Hivi sehemu imeshakuwa declared kama war zone na jamaa wamevurugwa kama Houthi halafu leo unishawishi kwamba kwa kuwa una ma meli yako ya kubeba ndege basi nipitishe meli yangu ya kontena? Kwa aina ya siraha wanazotumia Houthis unawezaje kuzi intercept zote?
Ulinzi wa bahari nyekunda ni mgumu sana ukizingatia eneo walipo Houth.
Ingekuwa ni njia ya ardhini unaweza ukatangaza ulinzi watu wakapata matumaini .
Baharini kwanza hakuna meli inayoweza kutoa msaada wa haraka kwa meli mwenzake ikipatwa na shida.Masafa ya nautical miles hata 10 utachukua muda mrefu kufikia meli nyengine mfano inayoungua.
 
7

Documents zote zinajulikana Sheikh
Wakati wale vijana wa kisomali (pirates) walipokuwa wanateka meli zaidi ya 300
Walikuwa wanakagua Documents na kujua ni za nani na zinaenda wapi?
Ili kama ni mzigo wa adui au anaepiga nchi za kiislam imekula kwake

Kuna meli ilikamatwa na ilikuwa kashfa kubwa sana kwa jirani zetu hapo
Ndani ya meli kulikuwa na silaha za kila aina nzito na nyepesi mpaka mizinga
Mzigo wanasema umeandikwa unashuka Mombasa ila Documents zingine za bill of landing zinaenda South Sudan
Ilikuwa aibu sana kwa Kenya kukubali kuandika ni mzigo wao
Ila wasomali walibeba mzigo wote na hela za ransom
Nakumbuka ni ile meli ya MV Faima,
Kuteka meli za adui kunalipa sana.
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱 wameanza kulenga bandari za Haifa, katika pwani ya Mediterania ya Israel.

Kombora ambalo halijatambuliwa lilitua katika eneo la bandari la Haifa.

Je, Hezbollah pia itafunga njia ya bahari ya Mediterania kuelekea Israel, na hivyo kusababisha mkwamo wa jumla wa kiuchumi?

t.me/megatron_ron
Fimbo itakayoimaliza Israel huenda ikawa mikononi mwa marafiki wa Hamas.Wao kama wameonesha njia tu.
 
Mzigo wa Houthi huo ndiyo maana anatamba
Habari sikuielewa ama aaaah nlikua nishasahau kama sanaa makao ya wahouthi 😀
Kumbe wale wengine wajinga wajinga walikimbilia aden
Kim tumbo tumbo anaupiga wakutosha 😎😎
 
Back
Top Bottom