COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

Dunia/mataifa yanavimbiana hakuna mnyonge, mpk Africa hawako nyuma rejea hapo magharibi walivyomdindia Ufaransa
Nadhani hao beberu wanabuni lao la kuendeleza ubeberu wao rejea WW2 mataifa yalivimba ila baada ya Japan kupata kiberiti dunia ilipoa

Hawa raia wanamiakakati migumu ya miaka mingi ijayo eg Corona ni vile ili fail
 
Inakoelekea,company zinazidi kupoteza imani hata kama sio Israel linked vessels zikipita bahari nyekundu,maana Maersk ilisitisha pia.

Mgogoro utaathiri kiasi kikubwa tu,tukae chonjo.
 
Inakoelekea,company zinazidi kupoteza imani hata kama sio Israel linked vessels zikipita bahari nyekundu,maana Maersk ilisitisha pia.

Mgogoro utaathiri kiasi kikubwa tu,tukae chonjo.
Marekani na washirikanwake hawakutegemea hili waendelee kumbeba Israel yeye mwenye huko bandari zate kavu hamna meli uchumi unayumba waafanyakazi wa badari wapo likizo.
 
Israel wana budget yakupigana na mataifa makubwa wote ndio iwe Gaza? Nadhani hakuna alie Kaa nakujiuliza Nazi ipo wapi?
 
Israel wana budget yakupigana na mataifa makubwa wote ndio iwe Gaza? Nadhani hakuna alie Kaa nakujiuliza Nazi ipo wapi?
Kama taifa kubwa lipi??
Maana mwezi tu alopigana na ghaza tayar alikua na bajet deficit
Hapo bado anaungwa mkono na United Shits Of Americant EU kasoro spain na Nato wote
Israhell haina bajeti yakupigana hata na hamas kama haijapewa tag na mashoga zake
 
Wanapewa taarifa za kijasusi na Iran.
 
Wanapokea taarifa za kijasusi kutoka kwa Iran.
 
Marekani na washirikanwake hawakutegemea hili waendelee kumbeba Israel yeye mwenye huko bandari zate kavi hamna meli.
Houthi hawataki mchezo kabisa,Israel akiendeleza military operation ndani ya Gaza na wao wanaendelea ku attack meli,hivi karibuni tutegemee hata meli ambazo si mshirika kuvamiwa na sidhani kwa sasa kama kuna meli itapitishwa.
 
Wanajua njian zote na Meli zote zikifika maeneo hayo wanakama mawasilano wanajua kila kitu.
 
Kwamba wanajua meli zote zinazotoka india zinaenda israhel ama wanafatiliaje ilipotoka wanaulizia ama inakuaje?
Njia za kitambua meli imetoka/inamilikiwa na nani zipo nyingi mfano,IMo number,flag of convenience,(kusajili umiliki wa meli zaidi ya nchi moja)ship registry, monitoring signals ambayo hutoa information kuhusu umiliki wa meli hivyo ni rahisi kushambulia tu.
Hivyo mifumo inayotumika ukiwa ndani ya meli kutambua meli zilizokaribu nawe inapoelekea,speed yake,inapomilikiwa n.k ndivyo hivyo wao hutambua pia.
 
BREAKING:

โšก ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ wameanza kulenga bandari za Haifa, katika pwani ya Mediterania ya Israel.

Kombora ambalo halijatambuliwa lilitua katika eneo la bandari la Haifa.

Je, Hezbollah pia itafunga njia ya bahari ya Mediterania kuelekea Israel, na hivyo kusababisha mkwamo wa jumla wa kiuchumi?

t.me/megatron_ron
 
H
Hzo information za kujua meli inaenda wapi hapo ndio usa anapomlaumu iran kuwa anawapa houth taarifa za kijasusi za kutambua kila meli inaenda wapi na imebeba nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ