Cosmic Singularity: Je, hii ni hoja inayojitosheleza kueleza ulimwengu ulivyoumbwa?

Ukiuliza imetoka wapi? Ukipata jibu ,utaulizia pia hilo jibu kuwa imetoka wapi to infinity, ila kwa binafsi yangu naona kila kitu kipo kwenye cycle tu🤔
Then we have to admit that human minds can not figure out out what existence is. Either it is an illusion to our own minds or something we have failed and we will never be able to understand. Wasomi wengi tangu enzi za kale wamejaribu kuelezea jambo hili lakini bado linaacha maswali zaidi.
 
Ukiona unatumia nguvu kubwa kuelewesha watu na kuelewa ujue hata wewe hujui kitu chochote zaidi ya kukariri, hii kitu mbona ina simple explanation.
Mbona huiweki hapa hiyo unayoiita simple explanation ndugu? Ingesaidia sana.
 
Qur'an 21:30*
"أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَـٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍۢ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ"
“Je, wale waliokufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, tukazibatilisha? Na tukajaalia kila kilicho hai kimetokana na maji. Basi, je hawatoamini?”

Hii ni Aya ndani ya Quran tukufu inaelezea muujiza wa uumbaji na inaelekea sambamba na dhana ya sayansi ya kisasa kuhusu chanzo cha ulimwengu (kama vile “Big Bang”). Pia inaonyesha kwamba Allah ndiye Muumbaji na Muweza wa kila kitu.
 
HAKIKA

Muhtasari kwa Hisani ya Voila AI:

Muhtasari wa "Navigesha katika Supasha (1): Ujicho kwenye Pumzi"​


Muhtasari huu unatoa ufafanuzi wa dhana tata za Supasha, mtazamo wa Umoja wa Ulimwengu kupitia muktadha wa nadharia za fizikia na metafizikia, ukizingatia uhusiano kati ya nafasi, nguvu, na uhamisiaji wa mambo.

1. Msingi wa Nadharia: Yantra Dhamma na Trizaniamu

Maelezo huanzishwa kwa kuelezea Yantra Dhamma na Trizaniamu kama mifumo ya kijiometri (mraba, pembetatu, na mduara) inayojumuisha miundo, utendaji, na pumzi ya uzima. Hii inaonyesha ukuaji na mabadiliko ya vitu kwa muktadha wa mwendo na uwepo.

2. Uhusiano wa Longitudi na Latitudi na Supasha

Longitudi na latitudi ni vipengele muhimu vinavyoelezea uhusiano kati ya nafasi na wakati, ambapo mabadiliko ya mwendo ni mageuzi ya upeo na uwepo. Hii inaendana na dhana ya Supasha na wakati kama sehemu za mzunguko na ushawishi wa maisha.

3. Ulimwengu kama Mfumo wa Mawimbi na Chembe

Ulimwengu unaonyeshwa kama muungano wa mawimbi na chembe (chembe-wimbi), ambapo mawimbi haya ni msingi wa uhamisho wa nishati, na muktadha wa maisha unafafanuliwa kama “maji ya uzima” yanayoshikilia na kuhifadhi mtetemo na nguvu.

4. Uhamonia Jumuifu na Nguvu za Gravitali

Maelezo yanatoa umuhimu wa uhamonia jumuifu (harmonia) kati ya nguvu za gravitali na umeme, zinazofuatilia sheria za “ukinyume wa nguvu” katika mifumo ya ulimwengu. Hii ina maana kuwa kila kitu kiko katika mzunguko wa nguvu chanya, hasi, na isiyo na mwelekeo (neutral).

5. Unafsi na Ufahamu kama Msingi wa Maisha

Unafsi unaelezwa kama msingi wa dhamira na nia katika maisha, ukihusisha uwezo wa kuhifadhi na kudhibiti mabadiliko ya vitu kupitia fahamu na kumbukumbu. Uelewa huu unafungamanishwa na nadharia ya chembe-wimbi primodiali, ambayo ni chembe ndogo mno isiyo na kikomo katika nafasi na wakati.

6. Puto-Ulimwengu na Ukinyume Puto-Ulimwengu

Dhana ya Puto-Ulimwengu inahusishwa na uhusiano wa nguvu na pumzi ya uzima, ambapo kila kitu kina mwelekeo wake wa pekee na kinyume chake. Hii inaonyesha mzunguko wa kuibuka na kuisha kwa vitu, na uwiano wa nguvu katika ulimwengu.

7. Tundu Jeupe na Tundu Jeusi kama Msimbo wa Roho ya Uzima

Tundu jeupe (white hole) na tundu jeusi (black hole) vinawakilisha muktadha wa mizunguko ya nguvu na maisha, na ni sehemu ya mchakato wa uundaji na uharibifu wa vitu katika ulimwengu. Hii ni mfano wa msalaba usifinati unaounganisha nguvu na mwelekeo wa mambo.

8. Uhusiano wa Jua, Sayari, na Utupu

Jua, sayari, na utupu vinachukuliwa kama sehemu za Puto-Ulimwengu, ambapo mzunguko wa nishati na nguvu unahakikisha uendelevu wa maisha na mabadiliko katika anga la ulimwengu. Utupu huchukuliwa si kama upungufu wa kitu bali kama nafasi yenye uwezo wa kuzalisha na kuhifadhi nishati.

9. Muktadha wa Supasha na Maada Pingifu

Supasha (superspace), pamoja na mada kiza na mada pingifu, ni vipengele vinavyoelezea uhusiano wa nguvu na nafasi katika ulimwengu, hasa katika muktadha wa nadharia za kisasa za fizikia ambazo zinajaribu kuelewa asili ya nafasi na wakati.

10. Hitimisho: Uongozi wa Nia na Nguvu

Mwisho, maelezo yanasisitiza kuwa mzunguko wa nguvu, pumzi ya uzima, na muktadha wa Supasha ni msingi wa kuendesha maisha, fahamu, na mabadiliko katika ulimwengu. Uelewa huu unaleta mwanga wa jinsi kila kitu kinavyoshirikiana kwa muktadha wa nguvu, nafasi, na wakati.​

​

Muhtasari wa Kawaida​


Ulimwengu unaelezwa kama mfumo wa mizunguko ya nguvu na chembe-wimbi, ambapo nafasi, nguvu za gravitali, umeme, na pumzi ya uzima vinashirikiana kwa muktadha wa Supasha na wakati. Hii ina maana kwamba kila kitu kina mwelekeo na kinyume chake, na mzunguko huu ni msingi wa maisha, fahamu, na mabadiliko. Tundu jeupe na tundu jeusi ni mifano ya mchakato huu wa kuibuka na kuisha kwa vitu, na utupu haupo tupu bali ni chanzo cha nishati na uwezekano wa maisha. Kwa ujumla, nadharia hii inaelezea ulimwengu kama uhalisia wa mabadiliko ya nguvu, nafasi, na wakati unaoendeshwa na nia, dhamira, na uelewa.​

Hmmm
 
Huu upumbavu wako siusomi tafuta waumini wenzako wausome bwashee
 
Gazeti la kipumbavu watafute wajinga wasome ila sio mimi tafadhali 🙏
 
Ila nachoipenda sayansi ni kuwa haijawa ku claim kwamba inajua kila kitu kuhusu ulimwengu bali inagundua taarifa kidogo kidogo kupitia uchunguzi
 
Hilo ndilo jibu linalotakiwa kutafutwa. Hiyo Cycle imeanzia wapi? And who/ what started it??
Qur'an 21:30*
"أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَـٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍۢ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ"
“Je, wale waliokufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana,kisha sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kila kilicho hai kimetokana na maji. Basi, je hawaamini?”


Hii ni Aya ndani ya Quran tukufu inaelezea muujiza wa uumbaji na inaelekea sambamba na dhana ya sayansi ya kisasa kuhusu chanzo cha ulimwengu (kama vile “Big Bang”). Allah ndiye Muumbaji na Muweza wa kila kitu.
 
Qur'an 21:30*
"أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَـٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍۢ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ"
“Je, wale waliokufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, tukazibatilisha? Na tukajaalia kila kilicho hai kimetokana na maji. Basi, je hawaamini?”


Hii ni Aya ndani ya Quran tukufu inaelezea muujiza wa uumbaji na inaelekea sambamba na dhana ya sayansi ya kisasa kuhusu chanzo cha ulimwengu (kama vile “Big Bang”). Allah ndiye Muumbaji na Muweza juu ya kila kitu
 
Huu upumbavu wako siusomi tafuta waumini wenzako wausome bwashee
Kwako ni upumbavu ila ni elimu kwa wenye akili.
Kwa kifupi ni kwamba hakuna mtu Au kiumbe yeyote atakatokea akupe jibu sahihi zaidi ya hili.
Qur'an 21:30*
"أَوَلَمْ يَرَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ أَنَّ ٱلسَّمَـٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًۭا فَفَتَقْنَـٰهُمَا ۖ وَجَعَلْنَا مِنَ ٱلْمَآءِ كُلَّ شَىْءٍۢ حَىٍّ ۖ أَفَلَا يُؤْمِنُونَ"
“Je, wale waliokufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, tukazibatilisha? Na tukajaalia kila kilicho hai kimetokana na maji. Basi, je hawaamini?”
 
OK uwa tag wenye hiyo akili kama yako bwashee kwangu ni ungese tu
 
Wewe pia unaweza chora cycle , hili ni swali la darasa la tatu b ndio maana sijajibu
Wasomi huwa hajibu hivyo mkuu,kuna mahali jamaa anataka akueleweshe ila Unafunga kioo....fungua hiyo tinted upewe shule.
Je unaweza Kuchora Hiyo cycle? Toa jibu
 
Wasomi huwa hajibu hivyo mkuu,kuna mahali jamaa anataka akueleweshe ila Unafunga kioo....fungua hiyo tinted upewe shule.
Je unaweza Kuchora Hiyo cycle? Toa jibu
Miaka 43 naweza fika hakuna nyumbu anaweza nielimisha kuhusu dini kwa sasa hivyo asante🤔
 
Sawa,Basi Naomba nikugeuze ubao Mkuu ili wengine waelewe,unaonaje mkuu?
Hapana sitaki kufanya hivyo , kwasababu nitakwaza imani za watu wengi sana ,hivyo naomba uendelee na wengine tu bwashee kwanza mimi nimeshalewa now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…