Hio taa uiyonayo hapo juu kabisa ndo main headlight, Hizo mbili za hapo chini zinaitwa Ditch lights au auxiliary litghts ... hata gari zikonazo, lakini kwa train ziko na extra uses mbali na kutumika kwa mwangaza tu..... Ukipiga honi, automatically zina flash(flashing ditch lights), pia zikifika karibu za stesheni dereva anaeza zifanya ziwake na kuzima moja moja (alternating ditch lights or asciliating ditch litghts) pia incase vichwa viwili vya treni vinatumia laini moja in opposite direction, madereva wanaeza communicate na hizo lights- kunazo jinsi wanajua kuzitumia kuongeleshana kama hawana radio...
Nchi tofauti ziko na standard tofauti za jinsi vile hizo ditch lights huwaka kuashiria kitu flani (Kama vile siren ya ambulance ziko tifauti ukilinganisha za Asia,europe, Americas)
Kwa mfano, hii hapa reli ya kitambo, marekani....hapo zamani hizo ditch lights zilikua zinashikiliwa na watu wakisimama mbele ya reli.....Ukiangalia hio picha hapo chini na hio ya treni ya Kenya hapo juu unaona zote kuna mtu anafanya inspection hapo kando, Kwahivyo hio signal nashuku inamaanisha kuna mtu anafanya inspection upande wa kulia wa reli
View attachment 501384
Hivi ndo hufanya ikiwa iko alternating ditch lights
(Click the image if its not animating)
Hizi hapa reli tofauti zimepigwa picha zikiwa taa moja halijawaka, kama nilivyosema, nchi tofauti ziko na standars tofauti
View attachment 501381
View attachment 501382 View attachment 501383
Hizo ditch lights ni muhimu sana kwa signaling mpaka nchi zengine ziko na sheria, kama hazifanyi kazi basi treni yenyewe irudi repair shop na ifanyiwe ukarabati mara moja.....
View attachment 501392
Hizi hapa standards za ditch lights nchi tofauti tofauti
Ditch-Crossing Lights - Gyrating Warning Lights
Signals - General - Transport Canada
Treni zimerudi Eastern Africa! Nashuku watu wengi watakua watajifunza mambo mengi sana kuhusu vile hizi gari hufanya kazi... Chukua hili kama funzo la kwanza kwako..... ulikua hujui sasa umejua
😎😎 ............
Lakini watanzania wa JF vile mlivyo nimeshawazoea, hua hamshiki lolote, sijui ni maksudi au ni akili hamna, uki elimishwa inapita na tundu moja inatoka na tundu nyengine..... Baada ya wiki moja unarudi pale pale na swala lile lile