Haya mwengine katoka usingizini hehehhe mwaka huu tutaona mengi sana 😀😀😀😀Electric Rail Technology is more old than Diesel, Diesel Engines are modern tech, people only use electricity as it is cheaper and cleaner, so don't think TZ having electric train is something new, Electric train dates back to 19th Century
😀😀😀😀😀😀Hahaha kajituloize na Ndoto hizo za Kidanganyika, tusha wazoea, yaani, nyinyi domodomo, Kenya ndio kwenda mbele, sahi 3Hrs, Nairobi to Mombasa. Nasikia ile kwenye ndoto zenu inachukua 1hr Dar is Slum to Moro! Sijui inapeleka nini huko. Kilometer 160, 1 hr, Electric, sisi tunachapa 480Km 3hrs Diesel!! Hahahaha! Bongolala
The DF8B is a good train model boss, sura tuwachie hao madem wa Rwanda, train hununuliwa boss as long as reli ni standard gaugeseriously driver hawezi kushuka mpaka aekewe extranal support ladder za kushuka, wachina nyie kweli mumekosa huruma kiasi hicho, ujue inauma sana
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀View attachment 500949
Sasa huyu unamwambia DF8B ilhali hawezi tofautisha, shunting engines, freight Engines, Passenger and LRT hiyo kwake ngumu kuelewaThe DF8B is a good train model boss, sura tuwachie hao madem wa Rwanda, train hununuliwa boss as long as reli ni standard gauge
Inabidi unamshow model number ndio agoogle ajue hakuna bullet trains za freight kama zenye anaexpectSasa huyu unamwambia DF8B ilhali hawezi tofautisha, shunting engines, freight Engines, Passenger and LRT hiyo kwake ngumu kuelewa
He wil be suprised how many are still in service around the world if he dares to researchSasa huyu unamwambia DF8B ilhali hawezi tofautisha, shunting engines, freight Engines, Passenger and LRT hiyo kwake ngumu kuelewa
hebu tazama hizo trains my friend mimi moyo wangu unaniuma sana..mbona taa ya kushoto ya train haiwaki😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
View attachment 500959
Hio taa uiyonayo hapo juu kabisa ndo main headlight, Hizo mbili za hapo chini zinaitwa Ditch lights au auxiliary litghts ... hata gari zikonazo, lakini kwa train ziko na extra uses mbali na kutumika kwa mwangaza tu..... Ukipiga honi, automatically zina flash(flashing ditch lights), pia zikifika karibu za stesheni dereva anaeza zifanya ziwake na kuzima moja moja (alternating ditch lights or asciliating ditch litghts) pia incase vichwa viwili vya treni vinatumia laini moja in opposite direction, madereva wanaeza communicate na hizo lights- kunazo jinsi wanajua kuzitumia kuongeleshana kama hawana radio...
Nchi tofauti ziko na standard tofauti za jinsi vile hizo ditch lights huwaka kuashiria kitu flani (Kama vile siren ya ambulance ziko tifauti ukilinganisha za Asia,europe, Americas)
Kwa mfano, hii hapa reli ya kitambo, marekani....hapo zamani hizo ditch lights zilikua zinashikiliwa na watu wakisimama mbele ya reli.....Ukiangalia hio picha hapo chini na hio ya treni ya Kenya hapo juu unaona zote kuna mtu anafanya inspection hapo kando, Kwahivyo hio signal nashuku inamaanisha kuna mtu anafanya inspection upande wa kulia wa reli
View attachment 501384
Hivi ndo hufanya ikiwa iko alternating ditch lights
(Click the image if its not animating)
Hizi hapa reli tofauti zimepigwa picha zikiwa taa moja halijawaka, kama nilivyosema, nchi tofauti ziko na standars tofauti
View attachment 501381
View attachment 501382 View attachment 501383
Hizo ditch lights ni muhimu sana kwa signaling mpaka nchi zengine ziko na sheria, kama hazifanyi kazi basi treni yenyewe irudi repair shop na ifanyiwe ukarabati mara moja.....
View attachment 501392
Hizi hapa standards za ditch lights nchi tofauti tofauti
Ditch-Crossing Lights - Gyrating Warning Lights
Signals - General - Transport Canada
Treni zimerudi Eastern Africa! Nashuku watu wengi watakua watajifunza mambo mengi sana kuhusu vile hizi gari hufanya kazi... Chukua hili kama funzo la kwanza kwako..... ulikua hujui sasa umejua 😎😎 ............
Lakini watanzania wa JF vile mlivyo nimeshawazoea, hua hamshiki lolote, sijui ni maksudi au ni akili hamna, uki elimishwa inapita na tundu moja inatoka na tundu nyengine..... Baada ya wiki moja unarudi pale pale na swala lile lile
From this thread, am learning that some Bongo people, many of them are highly uninformed. The rest are poorly informed.He wil be suprised how many are still in service around the world if he dares to research
Alot of free time(made up my own free time) and free company Internet will get you places you never imagined... I usually spend time in some forums that are quit informativeVery informative, where do you guys learn all this things??
Actually horsepower ya TRL locomotive ni superior kuliko hiyo ya KRhio ya kwetu ya sasa hvi inatofaut gani na SGR yenu kua muazi😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
View attachment 500956 View attachment 500957
Hawa watu wamepigwa na wachina 😀😀😀Actually horsepower ya TRL locomotive ni superior kuliko hiyo ya KR
Kawaida yenu. Kondoo mmoja akiruka kamba wengine wanafwatilia kuruka hata ukiondoa kamba.....Actually horsepower ya TRL locomotive ni superior kuliko hiyo ya KR
Kawaida yenu. Kondoo mmoja akiruka kamba wengine wanafwatilia kuruka hata ukiondoa kamba.....
TRC inatumia GE U30C na SDD20 zote ni 3000HP and power output of 2,200Kw while Kenya's freight Df8B iko na 5000HP na powerplant output ya 3,700Kw
Times of Zambia | TAZARA seals $12m locomotive deal
Tena isitoshe, raw horsepower is not all that determines what engine is superior there are alot of factors, like torque, tractive effort, weight ratio, axle horsepower( the actual power that is translated to the wheels) .... the old trains SDD20 tanzania got from China are old and have lost their horsepower, can't even power all the lights they are a dim... atleast the U30C are newer but you will still find that they waste like 10% of there HP just to pull the loco engine while on the otherhand the Df8B loco can even be pushed by a squad of 20 people on a superior SGR meaning it translates almost all of its HP to pulling the cargo......
Also not to forget that Tanzania is narrow gauge cap of 1060mm which even if you had a train of higher horsepower it will still have to move at lower speeds compaired to standard guage of 1,400mm Tazara was originally designed for maximum speed of 110km/hr but it has deated since then, it can only support a maximun speed of 40km/hr, higher than that and the driver risks the train jumping off the track 😱😱
Tazara is Cape gauge which is over 1 m! Only central line is narrow gauge that is 1m. Only central line the speed is capped at 40 km/hKawaida yenu. Kondoo mmoja akiruka kamba wengine wanafwatilia kuruka hata ukiondoa kamba.....
TRC inatumia GE U30C na SDD20 zote ni 3000HP and power output of 2,200Kw while Kenya's freight Df8B iko na 5000HP na powerplant output ya 3,700Kw
Times of Zambia | TAZARA seals $12m locomotive deal
Tena isitoshe, raw horsepower is not all that determines what engine is superior there are alot of factors, like torque, tractive effort, weight ratio, axle horsepower( the actual power that is translated to the wheels) .... the old trains SDD20 tanzania got from China are old and have lost their horsepower, can't even power all the lights they are a dim... atleast the U30C are newer but you will still find that they waste like 10% of there HP just to pull the loco engine while on the otherhand the Df8B loco can even be pushed by a squad of 20 people on a superior SGR meaning it translates almost all of its HP to pulling the cargo......
Also not to forget that Tanzania is narrow gauge cap of 1060mm which even if you had a train of higher horsepower it will still have to move at lower speeds compaired to standard guage of 1,400mm Tazara was originally designed for maximum speed of 110km/hr but it has deated since then, it can only support a maximun speed of 40km/hr, higher than that and the driver risks the train jumping off the track 😱😱
unamaanisha zile loco mliletewa juzi juzi zikapigwa mapicha pale dar zikiwa na mabehewa mapya ya abiria?Haijalishi pia, based on the first comment about HPUnajua kuwa TAZARA na TRL ni mashirika tofauti? Tuna reli ya kati (TRL) na Tanzania Zambia Railway (TAZARA).
1,000 mm (3 ft 3 3⁄8 in) gauge [TRL], 1,067 mm (3 ft 6 in) gauge [TAZARA]
Ur welding design for ur rail tracks is not continuous so how can u dare talking of horsepower n powerfulness of the engine if ur rail alone is less smooth in comparison to SGR design in Tanzaniaunamaanisha zile loco mliletewa juzi juzi zikapigwa mapicha pale dar zikiwa na mabehewa mapya ya abiria?Haijalishi pia, based on the first comment about HP
kwamfano hawa hapa walikua wanajadiliana which is the most powerfull locomotive engine in India among theses ones
- WAG-9H, 6350 HP
- WAG-9, 6350 HP
- WAP-7 6350 HP
- WAG-6A/B/C, 6110 HP
- WDG-5, 5500 HP
- WAG-7, 5350 HP
- WAP-4 5350 HP
- WCAM-3, 5000 HP
- WCAM-2, 4600 HP
- WDG-4B/D, 4500 HP
- WDP-4B/D, 4500 HP
- WAG-5, 4350 HP
Mwanzo utafikiri ni hio number one, alafu pia wakapeana list ya tractive effort ya the same locos
A list according to Tractive effort (TE)
- WAG-7H, TE: 91000 KgF
- WDG-4, TE: 55000 KgF (Creep Control), WDG-4: 34100 KgF.
- WAG-9, TE: 53000 KgF
- WAG-7, TE: 45000 KgF
- WAG-6, TE: 41000 KgF
- WDP-4B/D: 39000 KgF
- WDM-3F, 38060 KgF
- WDM-3D, 36030 KgF
- WAP-7, 36000 KgF
- WAP-4, 35600 KgF
- WAG-5, 33840 KgF
- WAM-4 33840 KgF
In the end one concluded that the most powerful locomotive ilikua ni WDP 4D ( 4500 HP)
hile the raw horsepower rating of a loco is important, most people tend to overlook the fact that it is not the whole story. A locomotives power generally depends on three things - Horsepower rating, max tractive effort and weight of loco.
The ‘tractive effort’ is a measure of how large a load the loco can pull and set in motion from a standstill — the maximum force it can exert at the drawbar or coupling. The loco's weight also comes into play, as a heavier loco can pull a larger load without its wheels slipping. Once the wheels begin slipping, the force that can be exerted by the loco drops dramatically. (Slipping occurs more with the front wheels because the front of the loco tends to lift slightly due to the reaction torque exerted by the rails on the loco.) Modern locos tend to have electronic slip control to control the power applied to each axle separately to minimize slip and maximize the tractive effort under different conditions.
If all the above factors are taken in to account, then WDG4 is currently the most powerful loco. The WDG4 weighs 126 tonnes, has a raw horsepower rating of 4000hp and its max tractive effort is 55100 kg. Add to that, Creep Control, which is essentially computer controlled wheel slip in order to maximize tractive effort.
https://www.quora.com/Which-is-the-...y-Indian-Railways-What-are-its-specifications