Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,224
One day, very soon tutasafiri kutoka Dar mpaka Nairobi kwa treni ya umeme, kutoka Mombasa mpaka Arusha, mwanza mpaka kisumu.. that day when all East Africa will be connected..
Viongozi wetu wanajitahidi pale wanapoweza kutuletea maendeleo, hii miradi mikubwa ni kwa ajili ya wananchi, tukiangalia haya beyond siasa na ushindani usio na tija tuna mengi sana tutafaidika nayo.
Kenya wameshajenga, wanaweza kusaidia uzoefu wakati Tanzania inajenga yake..
Ushauri wangu, Tuangalie uwezekano wa kuunganisha nguvu nchi za Afrika Mashariki kuwa na chuo kimoja cha mambo ya Reli.. ambapo wataalamu wote watajifunza hapo badala ya kuingia gharama ya kuwa na vyuo separate vinavyofundisha kitu kimoja.
Nimeangalia huu mradi wa Kenya kwa ukaribu sana na kugundua kua wamepigwa kwa kiasi kikubwa.
Ukiangalia stesheni zao ni zinajitahizi ila platform ziko open yaani wakati wa mvua ni majanga.
Pia nimefuatilia mradi wetu kwa ukaribu mkubwa sana.
Jambo moja zuri sana lililofanywa na Magufuli ni kufuta dili la kwanza na kuanza upya na kumpa mradi makandarasi aliye tukuka na aliyejenga miradi kibao ya maana yenye ubora wa dunia "YAPI MERKEZI" nimeengalia stesheni zao nyingi pia, mwenzetu mmoja aliwasiliana nao na walidai kua, wanafanya kila kitu kuanzia kudizain mpaka kujenga.
Wamesema, wanadesign za steshen zaidi ya miambili inlcudi zakwao walizojenyga DUBAI, QATAR, MEDINAH na za wakenya but wanamake sure wanakuja na kitu KIZURI ZAIDI.
kazi za YAPI MERKEZI
Haramain High Speed Railway Madinah Station
Dubai Metro’s Burjuman Station
Taksim-Kabatas Funicular System
KAZI ZA MKANDARASI ALIYE TUKUKA YAPI MERKEZI
na wameahidi kuja na design nzuri zaidi.