Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania

Nimeangalia huu mradi wa Kenya kwa ukaribu sana na kugundua kua wamepigwa kwa kiasi kikubwa.

Ukiangalia stesheni zao ni zinajitahizi ila platform ziko open yaani wakati wa mvua ni majanga.

Pia nimefuatilia mradi wetu kwa ukaribu mkubwa sana.

Jambo moja zuri sana lililofanywa na Magufuli ni kufuta dili la kwanza na kuanza upya na kumpa mradi makandarasi aliye tukuka na aliyejenga miradi kibao ya maana yenye ubora wa dunia "YAPI MERKEZI" nimeengalia stesheni zao nyingi pia, mwenzetu mmoja aliwasiliana nao na walidai kua, wanafanya kila kitu kuanzia kudizain mpaka kujenga.

Wamesema, wanadesign za steshen zaidi ya miambili inlcudi zakwao walizojenyga DUBAI, QATAR, MEDINAH na za wakenya but wanamake sure wanakuja na kitu KIZURI ZAIDI.

kazi za YAPI MERKEZI

Haramain High Speed Railway Madinah Station

Dubai Metro’s Burjuman Station

Taksim-Kabatas Funicular System

KAZI ZA MKANDARASI ALIYE TUKUKA YAPI MERKEZI

na wameahidi kuja na design nzuri zaidi.
 
I agree with ur thoughts lakini kumbuka hizo station za dubai were very expensive, dubai wanajenga kitu na budget kubwa sana, money is not issue to them.but they look for something out of this world
 
Hawa jamaa waturuki nawakubali sana, wachina wamekuwa too mainstream wapo kila mahali, barabara wao, majengo wao.. at least tuwe na diversity kidogo.

Ila Kikubwa ni kuwa.. China walifanya uhuni mkubwa sana na viongozi wa Afrika kwenye miradi ya miundombinu.. sio Kenya tu au Angola na Zimbabwe, hata hapa tz kuna miradi ilifanywa kwa gharama sana ila kiwango kidogo.

Na hilo ndilo lililomstua Magu.. mradi wa reli tumshukuru sana Mungu hauku-mature kipindi cha awamu iliyoisha, tungepigwa sana hela kama majirani zetu.

Ila bado tuna mengi kama Afrika Mashariki kushirikiana hasa kwenye suala la miundombinu, reli ni gharama kujenga na kutunza, kingeanzishwa chombo cha pamoja cha kushirikiana kwenye haya masuala ya miundombinu ili kuleta tija na ushindani hapa Afrika. Mashirika yetu ya reli hayawezi kushindana kwa kuwa yanafanya kazi katika sehemu tofauti.. kama hayashindani kwa nini yasiungane kushirikiana?
 
acheni kubweka bweka kaa mbwa koko,ekeni mapicha ya hiyo superior sgr ya umemeπŸ˜€
 
I agree with ur thoughts lakini kumbuka hizo station za dubai were very expensive, dubai wanajenga kitu na budget kubwa sana, money is not issue to them.but they look for something out of this world

Burjuman Station ndio pekee ya Dubai hapo nyingine ni za nnchi nyingine. Wewe jipe moyo. Ila sijaona kazi za YAPI MERKEZI za hovyo hovyo. Hakuna mahala wamejenga or design open platform kama za kwenu ambabo mvua ikinyesha itakua NOUMA.

BTW, kwa sasa wako kwenye designing phase tulia, wakimaliza tutaweka picha. Mtaisoma namba.
 
Kafrican you are my 'man of the match' kwa hii thread. Yani umaemua utatuharibu tu na mafacts after facts and in details hadi huyo jamaa wa giza' (geza) akaona giza. heheheh pewa unga kilo mbili kwa gharama yangu ama namna gani my fren
 
Hahaha asante sana! Kilo mbili zinatosha kabisa.. sai naenda kutafuta miwa nitengeneze sukari yangu home made!
 
Kafrican you are my 'man of the match' kwa hii thread. Yani umaemua utatuharibu tu na mafacts after facts and in details hadi huyo jamaa wa giza' (geza) akaona giza. heheheh pewa unga kilo mbili kwa gharama yangu ama namna gani my fren
Nitazilinda with my life..kama huyu msee

Naskia unaeza kutumia unga kama security ya kupata loan kwa bank?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…