hata Mungu anajua..
love you sana my wife
Valentina we jirani yangu nn tangibovu ipi unakaa asee matutina road au goba road inaweza ukawa jirani yangu asee tujuzane
atakuwa jirani yako tu huyu, kwa sababu nina mpango wakuja kwao, nitapita na kwenu!!
lakini unakumbuka kuna kitu uliambia kipindi kile cha interview, kuhusu uwepo wako!
au ulikuwa unadanganya tu?
ngoja nije PM kidogo nisije nikaharibu mambo hapa mbele ya kadamnasi
haya tayari sasa...