Couple hizi zitavunjika

Couple hizi zitavunjika

Q
Ukijua tu udhaifu wa demu wako mbona utafaidi ya Dunia.... Offset kampatia bi dada

Card B has been abused by men for all her life. Kwa kauli yake mwenyewe, kahadithia visa alivyofanyiwa na wanaume tangu akiwa na umri wa miaka 15. Anasema, kuchojoa nguo kwenye club za usiku ndio uamuzi sahihi kabisa aliowahi kufanya kwenye maisha yake. Sasa dada kama huyo utamfanya nini? Labda mjomba aamue kumbwaga tu
 
Vanessa ana akili sana and she is beautiful, wakati wote namuombea mema
 
Kwa hiyo huyo Msomali wako mdomo kama anaendesha fiat unampenda Nini?[emoji16]
Muache ASAP bhana, yaan nampenda Rock had nampenda tena..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaacha mzikii yulee, afu mwanamke akishazaa all she care it abt her babies, izo album sijui nini, atakuwa anajiimbia mwenyewe. Sikia, ipo hizi kazi za sanaa zina uhai, yaan namaanisha msanii akitoa kazi ya sanaa ni kama kujifungua tu kwa ubongo. Sasa dada yetu vee kajifungua kwa mwili, i know she cant be emotional tena na kazi zakee, cause now she emotional invested to her babiess.
Mbna kina Bey na kina Minaj wana watoto na wana imba badoo? Hivii wee uko timamuu??
 
Ukimuacha baby mama wako, watu wanakanyaga kisha wanajifutia kisweta cha mwanao. There're some cowards out there. Bora mkubali kulea watoto wenu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapa Tz ukimtoa Lady Jaydee hawa mastaa waliobaki wanategema uchi ili waongelewe na sio Kazi zao na kujituma .
 
Back
Top Bottom