Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Mabwana wapo basi ! Tabu tupu
Wapo wapi, mi siwataki hata, si Kama hawanifati wanakuja Ila mi sitaki sipo tayari hata Mara moja, leo kakufata wewe pm, kawafata wangapi? ni watu na Maisha yao na familia zao, ningekuwa mdangaji labda kwa tamaa za bia, sababu hawezi kukujengea hata chumba kimoja.
 
Teh teh teh[emoji16][emoji16]
 

Si unaeza ukaamua hata mwenyewe ukamjengea Kama anasimamia ukucha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ID yako ya miaka hiyo ilikuwaje mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…