Couple maarufu kuwahi kutokea hapa JamiiForums

Mabwana wapo basi ! Tabu tupu
Wapo wapi, mi siwataki hata, si Kama hawanifati wanakuja Ila mi sitaki sipo tayari hata Mara moja, leo kakufata wewe pm, kawafata wangapi? ni watu na Maisha yao na familia zao, ningekuwa mdangaji labda kwa tamaa za bia, sababu hawezi kukujengea hata chumba kimoja.
 
Teh teh teh[emoji16][emoji16]
 
Wapo wapi, mi siwataki hata, si Kama hawanifati wanakuja Ila mi sitaki sipo tayari hata Mara moja, leo kakufata wewe pm, kawafata wangapi? ni watu na Maisha yao na familia zao, ningekuwa mdangaji labda kwa tamaa za bia, sababu hawezi kukujengea hata chumba kimoja.

Si unaeza ukaamua hata mwenyewe ukamjengea Kama anasimamia ukucha
 
[emoji28][emoji28] nakumbuka mengi sana .. kuna mwamba alikuja na kabinti kamoja ka TIA nikamzunguka nikaondoka nako kumbe nakp kalikuwa kanacheza simba kakala laki yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] plus hotel pale migo ikapotea karibia laki sabini roho iliuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ID yako ya miaka hiyo ilikuwaje mkuu?
 
Back
Top Bottom