Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #61
Huyo binti ana dharau sana,nimejaribu kumuepuka mara kadhaa lakini bado hajirekebishi.Sasa mkuu binti wa watu kakuomba msamaha kwa moyo wa thati y usimsamehe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzii uzuri ,nina zungumzia wadhifa a.k.a chapaaaaaa
Kwani huyo tunda ana hela maisha ubadilika Leo hana kesho zipo kuna watu walikuwa nazo Leo hawana wapi Mr niceSizungumzii uzuri ,nina zungumzia wadhifa a.k.a chapaaaaaa
Yeye anahonga likes wenzake wana real cash 💴Baada ya demu uliyekuwa umampigia debe Jf kuwa unamkubali kunyakuliwa na wajanja!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akijali watapata wapi pesa ya kula bata kwenye mahotel makubwa??Kwa taarifa yako Anamaria alikua mzuri kuliko Tunda. Casto anajua kupenda na anampenda sana Tunda. Japo Tunda ana mambo yake mengi na casto anajua sema wala hajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyyu kwenye picha unamjua?mana ni nomaWewe unaendana na huyo uliye naye? View attachment 847516
Hapana simfahamu
Huyo ni noma ni msauz mwenye kesi kibao za mauaji kma hilo domo lake,iko clip yake anahojiwa anasema yeye anasema kazoea uuaji,ujambazi kwenye maisha yakeHapana simfahamu
Khaaa, kumbee! Asante kwa kunifahamisha mkuu, hadi kesho kutwa mimi ningejua ni mtu tu wa kawaida.Huyo ni noma ni msauz mwenye kesi kibao za mauaji kma hilo domo lake,iko clip yake anahojiwa anasema yeye anasema kazoea uuaji,ujambazi kwenye maisha yake
Sent using Jamii Forums mobile app