Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clap for urselfWhich school I send my children to should be a personal decision. Which school you send yours, likewise is your decision. Send them to Kayumba and save your money. I will spend my money on children's education and send them to better schools. Then I can shut up.
Kwa kiswahili hiki ni bora ungesoma hizo English medium tu. Sisi wa Kayumba tunakiotea sana kiswahili.wanabuluzwa
Mkuu nina wataalam hapa toka Coet lakini hata kujieleza wanahangaika tu, peleka watoto shule.Wale wa IST na shule zingine zinazotumia mitaala ya nje sawa... ila hawa wa daraja la kati kama tusiime, st marys etc.. tunakutana nao vyuo vikuu vya uma.. wakiwa vilaza tu wanakimbizwa na sisi kayumba darasani.. udsm wamejaa kibao tena sio kozi za coet wao wamejaa kozi za arts na social science na wanabuluzwa na kayumba.. narudia tena sijawai ona best student aliyeoma english medium chuo kikuu
Kutafuta nini huko kayumba, labda maisha yaje yapinde kabisa ikiwamo kukosa hela ya kula.
Sitaacha kukomaa mwanangu apate elimu bora, hii itasaidia hata taifa kupunguza wajinga maana haya yanayoendelea huenda ni matokeo ya ukayumba.
Hao mabest students wangekuwa bora zaidi wangesoma shule za english medium. Kuna maprofesa waliosoma shule za Kayumba wanaozidiwa kingereza na watoto wa shule za msingi za English medium.tubishane kwa facts, naomba utaje best student wa chuo kikuu chochote cha serikali ambaye shule ya msingi alisoma english medium..
International kumejaa mazezeta tupuSijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..
Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
Watoto ni barakaMm nilichojifunza kwenye janga la covid 19 ni kuwa na uzazi wa mpango na kuiboresha familia yako. Chukulia mfano magufuri aseme kuanzia leo watu wajifungie ndani mwezi wasitoke nje. Je wale waliozaa hovyohovyo wakaanza kurundikana wote ndani ya chumba na sebule nn kitatokea. Shule sio inshu maana zitafungua na maisha yataendelea. Inshu mrundikano + umasikini.
Naona , mnaendelea kupiga ramli. Mtoto kumsomesha kayumba nikujitaftia matatizo.
Tanzania kuna lugha mbili za Taifa,Kiswahili na Kingereza.
Acheni kujifanya hamnazo linapokuja suala la kingereza.
Sisi tulishachagua kingereza kuwa lugha ya kuingia nayo kwenye soko la kimataifa.
Sasa mtaendelea kutokufahamu hilo mpaka lini?